Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Tunaviendeleza mkuu, hatuviuzi.Mnategemea kuanza Kuviuza lini labda hivyo Viwanja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaviendeleza mkuu, hatuviuzi.Mnategemea kuanza Kuviuza lini labda hivyo Viwanja?
Tunaviendeleza mkuu, hatuviuzi.
And the worse thing... kafariki siku ambayo mkwere anasherekea siku yake ya kuzaliwa... october 8 ..
Mbezi beach yote huathirika na mafuriko..kuta zote zinakuwa shakani.Huo Mto Jirani hapo ukifurika nyie hapo katika Makazi yenu huwa hamuathiriki nao?
Mbezi beach yote huathirika na mafuriko..kuta zote zinakuwa shakani.
Hivi Sam ( Yule Jamaa Mrefu ) sana aliyekuwa ' Komandoo ' ila walimtoa huko baada ya ' Kuvunjika ' vibaya Miguu yake wakati akiruka kutoka katika Ndege Angani na akatua vibaya wakiwa Mazoezini, ila alitibiwa na sasa amepona japo akitembea ' anachechemea ' na ni ' Brazameni ' sana ni Mtoto wa Marehemu Mzee Apson au amemuolea Binti yake? Nitashukuru ukinipa ufafanuzi wa Kutosha juu ya hili Ndugu. Huyo Sam japo kwa sasa ana ' Ukilema ' kutokana na hiyo Ajali ya Kijeshi ( Kikomandoo ) aliyoipata, ila Jamaa anapiga ' Combat Kung Fu ' utadhani alizaliwa baada ya Hayati Jun Fan ( wengi wenu mnamjua kwa Jina lake maarufu la Bruce Lee ) Kuna Siku moja alitoa ' Demo ' fupi tu mitaa ya Mikocheni na ndani ya muda mchache hiyo sehemu ilitulia huku DJ akiacha Muziki wake na Wahudumu nao wakiacha Kutuhudumia halafuf akina An Eagle tukitafuta ' Vichochoro ' vya kutokea barabara Kuu ili tudadindie ' DalaDala ' tuje Kupumzisha Akili na Presha. Ni Jamaa Mmoja mpole sana halafu Mstaarabu mno ila ' ukijichanganya ' tu Kwake ndipo utajua ni kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna ' Video ' yake tokea Uhuru hadi hii leo.
Asante afisa ...Mkuu uandishi wako inaonekana kama ukiongea haumezi mate [emoji23][emoji23][emoji23]
Well , huyo Sam unaemuongelea amepata ulemavu sio Sam Apson
Mkuu uandishi wako inaonekana kama ukiongea haumezi mate 😂😂😂
Well , huyo Sam unaemuongelea amepata ulemavu sio Sam Apson
Jana Tarehe 7 mwezi wa kumi 2019 Taifa la Tanzania limepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee wetu Apson Mwang'onda.
Mzee Mwang'onda,Mzee Agustino Mahiga,Othman Rashind na Marehemu Joe Walingozi nilipata kuwafahamu kupitia Mzee wetu Marehemu Charles Emilio Mzena miaka ya 1990
Apson Mwang'onda mtu mahiri na aliyekuwa anaipenda kazi yake na zaidi kuifanya kwa umahiri na weledi mkubwa Nchini
Hawa wote ni vijana waliolelewa na Mzee Charles Emilio Mzena ambaye ndiye aliyeipaisha Tanzania kwenye medani za Interejensia Nchini mpaka nje ya mipaka yetu
Kuna kisa nilipata kusimuliwa na Mzee Apson Mwang'onda kwamba siku za mwanzoni kabisa wakati Tanzania ndo imepata Uhuru
Kuna Mawaziri na watendaji wengi walikuwa na tabia ya kulewa mitaani na kuzungumza hovyo Kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana Mzee Charles Emilio Mzena. Ikabidi siku mmoja amwambie Rais Mwl JK Nyerere kuhusu vituko hivyo vya Mawaziri na Mzee Mzena akamwambia Mwl JK Nyerere kwamba siku asishangee kusikia kawaweka ndani hao Mawaziri
Ndo ikabidi Mwal JK Nyerere atafute sehemu maalumu ya viongozi kupata maraha yao,"LEADERS CLUB ' ambayo leo wengi mnaifamu vizuri iliyopo pale kinondoni
Pumzika kwa amani Mzee wetu Apson Mwang'onda
Alex Fredrick
Morogoro
View attachment 1227067View attachment 1227068
What is his legacy? EPA?Jana Tarehe 7 mwezi wa kumi 2019 Taifa la Tanzania limepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee wetu Apson Mwang'onda.
Mzee Mwang'onda,Mzee Agustino Mahiga,Othman Rashind na Marehemu Joe Walingozi nilipata kuwafahamu kupitia Mzee wetu Marehemu Charles Emilio Mzena miaka ya 1990
Apson Mwang'onda mtu mahiri na aliyekuwa anaipenda kazi yake na zaidi kuifanya kwa umahiri na weledi mkubwa Nchini
Hawa wote ni vijana waliolelewa na Mzee Charles Emilio Mzena ambaye ndiye aliyeipaisha Tanzania kwenye medani za Interejensia Nchini mpaka nje ya mipaka yetu
Kuna kisa nilipata kusimuliwa na Mzee Apson Mwang'onda kwamba siku za mwanzoni kabisa wakati Tanzania ndo imepata Uhuru
Kuna Mawaziri na watendaji wengi walikuwa na tabia ya kulewa mitaani na kuzungumza hovyo Kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana Mzee Charles Emilio Mzena. Ikabidi siku mmoja amwambie Rais Mwl JK Nyerere kuhusu vituko hivyo vya Mawaziri na Mzee Mzena akamwambia Mwl JK Nyerere kwamba siku asishangee kusikia kawaweka ndani hao Mawaziri
Ndo ikabidi Mwal JK Nyerere atafute sehemu maalumu ya viongozi kupata maraha yao,"LEADERS CLUB ' ambayo leo wengi mnaifamu vizuri iliyopo pale kinondoni
Pumzika kwa amani Mzee wetu Apson Mwang'onda
Alex Fredrick
Morogoro
View attachment 1227067View attachment 1227068
Wewe peke yako wengine usiwasemee kwani hawana roho ya kichawi kama yakoPigo kwako usi tuhusishe wengine
Mkuu wa kamati ya roho mbaya wewePigo kwako usi tuhusishe wengine
Kwa nini rostam azizi ndiyo ana coordinate kusafirisha mwili toka South Africa kuja Tanzania. Can you connect the dot, jana kulikuwa na uzi ukimuhusisha rostam kuwa ni mkono wa CIA kwa upande wa Africa Mashariki, ulizungumuza sana kuhusu kikwete, zanzibar, huyu marehemu na rostamMarehemu alijitafutia sana pesa ya Laigwan