TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Mbezi beach yote huathirika na mafuriko..kuta zote zinakuwa shakani.

Sasa kwanini msiuze tu Nyumba yenu na hivyo Viwanja vingine hapo Jirani ili mkajenge Kwingineko kuliko Kung'ang'ania hapo na Kipindi cha Mvua kama hiki cha sasa mnakosa raha na Usingizi wenu unakuwa ni wa ' Kimang'amung'amu ' sana Ndugu? Na Watu wa TMA wamesema hii Mvua bado tunayo na huenda ikaleta madhara zaidi kupelekea Nyumba zenu zote hapo Kusombwa na Maji na mkazikuta zikiwa zinaelea tu hapo Jirani ndani ya Maji ya Bahari ya Hindi.
 
Hivi Sam ( Yule Jamaa Mrefu ) sana aliyekuwa ' Komandoo ' ila walimtoa huko baada ya ' Kuvunjika ' vibaya Miguu yake wakati akiruka kutoka katika Ndege Angani na akatua vibaya wakiwa Mazoezini, ila alitibiwa na sasa amepona japo akitembea ' anachechemea ' na ni ' Brazameni ' sana ni Mtoto wa Marehemu Mzee Apson au amemuolea Binti yake? Nitashukuru ukinipa ufafanuzi wa Kutosha juu ya hili Ndugu. Huyo Sam japo kwa sasa ana ' Ukilema ' kutokana na hiyo Ajali ya Kijeshi ( Kikomandoo ) aliyoipata, ila Jamaa anapiga ' Combat Kung Fu ' utadhani alizaliwa baada ya Hayati Jun Fan ( wengi wenu mnamjua kwa Jina lake maarufu la Bruce Lee ) Kuna Siku moja alitoa ' Demo ' fupi tu mitaa ya Mikocheni na ndani ya muda mchache hiyo sehemu ilitulia huku DJ akiacha Muziki wake na Wahudumu nao wakiacha Kutuhudumia halafuf akina An Eagle tukitafuta ' Vichochoro ' vya kutokea barabara Kuu ili tudadindie ' DalaDala ' tuje Kupumzisha Akili na Presha. Ni Jamaa Mmoja mpole sana halafu Mstaarabu mno ila ' ukijichanganya ' tu Kwake ndipo utajua ni kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna ' Video ' yake tokea Uhuru hadi hii leo.

Mkuu uandishi wako inaonekana kama ukiongea haumezi mate 😂😂😂

Well , huyo Sam unaemuongelea amepata ulemavu sio Sam Apson
 
Shukran kwa Ufafanuzi wako ' Kuntu ' kabisa Ndugu.
 
Jana Tarehe 7 mwezi wa kumi 2019 Taifa la Tanzania limepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee wetu Apson Mwang'onda.

Mzee Mwang'onda,Mzee Agustino Mahiga,Othman Rashind na Marehemu Joe Walingozi nilipata kuwafahamu kupitia Mzee wetu Marehemu Charles Emilio Mzena miaka ya 1990

Apson Mwang'onda mtu mahiri na aliyekuwa anaipenda kazi yake na zaidi kuifanya kwa umahiri na weledi mkubwa Nchini

Hawa wote ni vijana waliolelewa na Mzee Charles Emilio Mzena ambaye ndiye aliyeipaisha Tanzania kwenye medani za Interejensia Nchini mpaka nje ya mipaka yetu

Kuna kisa nilipata kusimuliwa na Mzee Apson Mwang'onda kwamba siku za mwanzoni kabisa wakati Tanzania ndo imepata Uhuru

Kuna Mawaziri na watendaji wengi walikuwa na tabia ya kulewa mitaani na kuzungumza hovyo Kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana Mzee Charles Emilio Mzena. Ikabidi siku mmoja amwambie Rais Mwl JK Nyerere kuhusu vituko hivyo vya Mawaziri na Mzee Mzena akamwambia Mwl JK Nyerere kwamba siku asishangee kusikia kawaweka ndani hao Mawaziri

Ndo ikabidi Mwal JK Nyerere atafute sehemu maalumu ya viongozi kupata maraha yao,"LEADERS CLUB ' ambayo leo wengi mnaifamu vizuri iliyopo pale kinondoni

Pumzika kwa amani Mzee wetu Apson Mwang'onda

Alex Fredrick
Morogoro

FB_IMG_1570565046397.jpeg
FB_IMG_1570565036760.jpeg
 
Mbona mpaka leo kila baa watu tungi likishawabamba wote wanai kuwa ni watu wa System.

Marehemu alifanikiwa kweli?
 
Jana Tarehe 7 mwezi wa kumi 2019 Taifa la Tanzania limepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee wetu Apson Mwang'onda.

Mzee Mwang'onda,Mzee Agustino Mahiga,Othman Rashind na Marehemu Joe Walingozi nilipata kuwafahamu kupitia Mzee wetu Marehemu Charles Emilio Mzena miaka ya 1990

Apson Mwang'onda mtu mahiri na aliyekuwa anaipenda kazi yake na zaidi kuifanya kwa umahiri na weledi mkubwa Nchini

Hawa wote ni vijana waliolelewa na Mzee Charles Emilio Mzena ambaye ndiye aliyeipaisha Tanzania kwenye medani za Interejensia Nchini mpaka nje ya mipaka yetu

Kuna kisa nilipata kusimuliwa na Mzee Apson Mwang'onda kwamba siku za mwanzoni kabisa wakati Tanzania ndo imepata Uhuru

Kuna Mawaziri na watendaji wengi walikuwa na tabia ya kulewa mitaani na kuzungumza hovyo Kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana Mzee Charles Emilio Mzena. Ikabidi siku mmoja amwambie Rais Mwl JK Nyerere kuhusu vituko hivyo vya Mawaziri na Mzee Mzena akamwambia Mwl JK Nyerere kwamba siku asishangee kusikia kawaweka ndani hao Mawaziri

Ndo ikabidi Mwal JK Nyerere atafute sehemu maalumu ya viongozi kupata maraha yao,"LEADERS CLUB ' ambayo leo wengi mnaifamu vizuri iliyopo pale kinondoni

Pumzika kwa amani Mzee wetu Apson Mwang'onda

Alex Fredrick
Morogoro

View attachment 1227067View attachment 1227068

Pamoja na haya Maelezo yako yote japo mengine naona ni kama vile ' Irrelevant ' naomba kujua je, huwa unaenda Kusalimia Familia ya Marehemu Mzee Mzena mara kwa mara kama sehemu ya Kuundeleza Urafiki wako nae? Na je, umeshakuja tayari Mbezi Beach ulipo Msiba wa ' Jasusi ' Colonel Apson Mwang'onda au bado upo tu huko Morogoro ukiendelea labda Kuitafuta Nauli ya Abood Bus Service pengine Kesho ikulete Tanzania samahani Dar es Salaam?
 
Jana Tarehe 7 mwezi wa kumi 2019 Taifa la Tanzania limepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee wetu Apson Mwang'onda.

Mzee Mwang'onda,Mzee Agustino Mahiga,Othman Rashind na Marehemu Joe Walingozi nilipata kuwafahamu kupitia Mzee wetu Marehemu Charles Emilio Mzena miaka ya 1990

Apson Mwang'onda mtu mahiri na aliyekuwa anaipenda kazi yake na zaidi kuifanya kwa umahiri na weledi mkubwa Nchini

Hawa wote ni vijana waliolelewa na Mzee Charles Emilio Mzena ambaye ndiye aliyeipaisha Tanzania kwenye medani za Interejensia Nchini mpaka nje ya mipaka yetu

Kuna kisa nilipata kusimuliwa na Mzee Apson Mwang'onda kwamba siku za mwanzoni kabisa wakati Tanzania ndo imepata Uhuru

Kuna Mawaziri na watendaji wengi walikuwa na tabia ya kulewa mitaani na kuzungumza hovyo Kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana Mzee Charles Emilio Mzena. Ikabidi siku mmoja amwambie Rais Mwl JK Nyerere kuhusu vituko hivyo vya Mawaziri na Mzee Mzena akamwambia Mwl JK Nyerere kwamba siku asishangee kusikia kawaweka ndani hao Mawaziri

Ndo ikabidi Mwal JK Nyerere atafute sehemu maalumu ya viongozi kupata maraha yao,"LEADERS CLUB ' ambayo leo wengi mnaifamu vizuri iliyopo pale kinondoni

Pumzika kwa amani Mzee wetu Apson Mwang'onda

Alex Fredrick
Morogoro

View attachment 1227067View attachment 1227068
What is his legacy? EPA?
 
..mtoa mada umechanganya majina ya Mzee Mzena.

..alikuwa akiitwa EMILIUS CHARLES MZENA.

..wakati mwingine aliitwa E.C.Mzena.
 
Marehemu alijitafutia sana pesa ya Laigwan
Kwa nini rostam azizi ndiyo ana coordinate kusafirisha mwili toka South Africa kuja Tanzania. Can you connect the dot, jana kulikuwa na uzi ukimuhusisha rostam kuwa ni mkono wa CIA kwa upande wa Africa Mashariki, ulizungumuza sana kuhusu kikwete, zanzibar, huyu marehemu na rostam
 
Back
Top Bottom