Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

Sio watanganyika sema wachaga bro....hapo bandarini ushaonaga kuna watanganyika,wewe huoni mpaka mjomba mkubwa kaeka maridhiano pembeni kwanza kupambania kizazi chake.
Una uthibitisho kwamba ni Wachagga na si Watanganyika? Wachagga si Watanganyika?
 
Bwana Mkurugenzi mkuu acha kujibu na kutoa ufafanuzi wa hivi viishu vidogo vifogo. Jibu tuhuma hizi nzito kwa mfano watu wanasema kuliko kuendelea na uwizi, ubadhirifu, rushwa na hujuma za aina hiyo zinazoendelea sasa bandarini ni bora apewe mwarabu. Utendaji wa kizembe bandarini ni moja ya sababu kuu inayotumiwa kuhalalidha huu ubinafisishaji. Wewe unasemaje mheshimiwa sana???
Wizi na ufisadi ni sehemu tu ya sababu kwanini DP World anapewa bandari aiendeshe. Kuna masuala ya teknolojia kuwa ni bidhaa inayomilikiwa na kampuni zinazokuja kuwekeza hapo TPA.

Kuna suala la mwendeshaji huyo kuwa ni mmiliki wa madini ya huko Rwanda na DRC mwenye uwezo wa masuala ya logistics kwa kiwango cha juu.
 
Sio sahihi kusema mizigo mingi ya DRC inapitia Rwanda. Mkurugenzi wa bandari aingalie tena jiografia ya DRC na hali ya usalama katika majimbo yanayopakana na Rwanda.

Labda dp/w imeona biashara kwenye bandari kavu ya Rwanda imedoda na upenyo ni bandari za bongo baada ya Kenya kuwaweka kando. Biashara ni hesabu za namna ya kumwingiza king mwenzio au sio
 
DP World keshamalizana na DRC pamoja na Rwanda ni sisi tuliokuwa tunasubiriwa ili biashara ianze. Tumeshamalizana na huyu mwendeshaji wa bandari na ataanza kazi Novemba mwanzoni mwaka huu pale TPA.
 
Wakati Tanganyika tunapewa uhuru miaka ya sitini Dubai ilikuwa ni Kijiji cha wavuvi leo hii ni uchumi mkubwa hilo linainyesha kuwa wanajua kumanage things Bandari ya Dasalaama itakuwa salama sisi hatujiwezi zofle hale.
Tena sisi tumepata elimu yenye 'upako' kutoka shule za seminari, mfano TOSA MAGANGA, PERAMIHO, MAUWA, KAENGESA n.k wakati wenzetu wamesoma elimu AKHERA tu hawa, lkn wameshirikiana na wazungu saivi wapo mbali! sijui nani katuroga sisi?
 
Back
Top Bottom