Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande asema pamoja na kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere, watanzania tutegemee migao zaidi!

Wako watu kwa maksudi na kwa dhati kabisa hawalitakii taifa hili hali iliyo nzuri kwa 100%,na wachonganishi kwa rais na umma wa watanzania.
STABLE ELECTRIFICATION REFLECTS TO STABLE COUNTRY. NCHI HAIWEZI KUWA IMARA KIUCHUMI KAMA HAKUNA UMEME WA UHAKIKA NA NAFUU.
UMEME NAFUU MAANA YAKE NI VIWANDA VINGI NA PRODUCE NYINGI NDANI YA NCHI.
#INAUDHI SANA.
 
Wivu unakusumbua hicho cheo hutokaa upate mkuu.

Maelezo ya Chande yako clear na anazungumzia umeme wa viwanda hasaa sio umeme wa kuwasha taa.

Mwisho Hakuna mgao utakuwepo Bali kukatika katika kuko pale pale maana Tanesco walishasema miundombinu ya usambazaji imechoka na wanahitaji Til.4 kuibadili yote na ndio kwanza mwaka huu wamepewa Bi.500
 
Kama kausema ukweli, kulikuwa na haja gani Kwa viongozi wetu wakuu wa Taifa, akiwemo aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli, kutuongopea kuwa mradi huo ndiyo utakaoweza kumaliza matatizo ya mgao wa Umeme nchini?
Mwendazake muongo yule Ni nyie wajinga ndio mlikuwa mnameza anachoongea bila kuhusisha akili zenu.
 
Kwenye hiyo short term wanalenga kuwa na walau megawatt 5,000 by 2025 na sio 3,000
 
Megawati 60,000 ni kwamba kila mtanzania atakuwa na kiwanda chake ama?
 
Kabisa 6000MW maana 60,000MW ni nyingi mno hatuna matumizi hayo labda kwa bara zima la africa.
Alinukuliwa akisema kuwa Megawatts 60,000 ndizo zitakazotifanya watanzania tujitegemee Kwa mahitaji yetu ya Umeme!

Ndiyo utambue hapo kuwa huyu Rais wetu, sijui huwa anawaokota jalalani hao wateule wake?😎

Kuna umuhimi mkubwa Sana wa kupata Katiba mpya ya nchi, ambayo itampunguzia madaraka makubwa mno Rais ya kufanya uteizi mbalimbali na Wala hapaswi kuulizwa, vigezo gani alivyotumia vya teuzi zake!
 
Mbona wapiga Kura washafanya hivyo mara kadhaa.. Wanapiga chini ccm, halafu NEC inawatangaza ccm kuwa washindi.
Huwa hawategemei kura!
 
Ukraine kabla ya Vita uwezo wake wa kuzalisha umeme ulikua Ni GW 58.2 yaani ni Megawatts 58,200 na alikua anauza umeme nchi nyingi za Ulaya na bado ye mwenyewe ana maviwanda makubwa makubwa,sisi leo tunaongelea kua na Megawatts 60,000?Aisee kuzifikia hizo ni labda baada ya miaka 1500 ijayo.
 
Waanze nazo pale palipo taabani, nijuavyo by 70 pc zitapigwa na kiduchu ndicho kitafanya kazi ili upigaji undelete kwa sababu miundombinu hii ikiwa imara chance za kupiga zitapungua kabisa AND THIS IS REALITY.
 
Kwa uongozi wa aina hii, miaka 1500 haitoshi..
 
Hiki la hitaji la umeme Tanzania kuwa megawatts 60,000. Ni jipya kwangu nablabda kwa wengi wetu. Ninadhani kuna sifuri imeongezwa kimakosa. Haiwezekani uongozi wa juu wa serikali yetu pendwa isiwe na taarifa nyetu kama hizi.
 
mimi ninamshangaa rais ambaye anawachekea hawa vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…