Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji yanatokana na mvua,mvua haleti rais,tulipata mvua nyingi 2017/18-2020,mabwawa hayakukauka,2020-2021 hapakua na mvua, mabwawa yamekauka,Kama kukatika umeme kipindi Cha magu ulikua ukikatika,niliunguza Samsung kwa umeme kukatika hovyo 2018/19,nimeonesha mpira kwa jenereta kipindi Cha maguSwali kwako wewe unayemuelewa Maharage, kwa nini tumeishi miaka 5 kabla ya Maharage na Makamba bila mgao wa umeme wala maji? Huo umeme tuliokuwa tunatumia ulikuwa unatoka wapi? Na kwa nini ghafla tu baada ya Raisi huyu kuletwa mgao wa maji na umeme ukaanza?
Kwa sababu mnapenda zaidi kuwasikiliza wanasiasa bila kujiongezaKama kausema ukweli, kulikuwa na haja gani Kwa viongozi wetu wakuu wa Taifa, akiwemo aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, Hayati Magufuli, kutuongopea kuwa mradi huo ndiyo utakaoweza kumaliza matatizo ya mgao wa Umeme nchini?
Megawatts 60,000 unazijua lakin au umekosea..?
Maji yanatokana na mvua,mvua haleti rais,tulipata mvua nyingi 2017/18-2020,mabwawa hayakukauka,2020-2021 hapakua na mvua, mabwawa yamekauka,Kama kukatika umeme kipindi Cha magu ulikua ukikatika,niliunguza Samsung kwa umeme kukatika hovyo 2018/19,nimeonesha mpira kwa jenereta kipindi Cha magu
Kweli kabisa. Ila kwa nini nchi kama za waarabu wa jangwani wanaendelea sisi wenye kila kitu including mafuta na almasi dhahabu na vito vyote tunabaki masikini tena wa kuomba omba na tunaona sifa ya kupiga makofi tukipata mikopo???Dunia inaongozwa na satanist, itoshe tu kusema hivyo, usifikiri kila mtu anapenda maendeleo ya watu wote, kuna watu wanapenda tunavyopata shida ndiyo furaha yao, matazizo mengi na umaskini uliopo ni wa kutengenezwa kwa makusudi kabisa, …
Kweli kabisa. Ila kwa nini nchi kama za waarabu wa jangwani wanaendelea sisi wenye kila kitu including mafuta na almasi dhahabu na vito vyote tunabaki masikini tena wa kuomba omba na tunaona sifa ya kupiga makofi tukipata mikopo???
Ndiyo ujue kuwa viongozi wetu wa CCM, wote ni wasanii😃2015-2021 hatukuwa na mgao wa umeme wala maji, vyote vilianza miezi baada ya Utawala huu kuja, kwa hiyo laana ya ukame iliwasubiri? Isitoshe Makamba Waziri muhusika alisema sababu ya mgao ni matengenezo ya Mashine ambapo hazikufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu (2015-2021) ndio maana hakukuwa na mgao kipindi hicho na baada ya matengenezo kuisha mgao ungeisha na hakusema mambo ya ukame, sasa iweje narratives zinabadilila kila mara?
Tume relax tunajiona kama ni katika nchi zilizoendelea ndio maana tunagusa hiki tunaacha tunagusa kile mwisho wa siku hakuna hata kimoja tulicho fanikiwa.Kweli kabisa. Ila kwa nini nchi kama za waarabu wa jangwani wanaendelea sisi wenye kila kitu including mafuta na almasi dhahabu na vito vyote tunabaki masikini tena wa kuomba omba na tunaona sifa ya kupiga makofi tukipata mikopo???
We unafikiri Rais Samia aliposema watz wengi wana uwezo mdogo wa KUFIKIRI ulidhani kadanganya?.[emoji16][emoji16][emoji16]Nasisitiza Ni 60,000.
Unajua Egypt inaandaa Gigabite ngapi huko?View attachment 2456394View attachment 2456395
Huna unachojua wewe!Wakati wengine wanazitafuta GW huko,wewe bado unashangaa vi 60000 MW!.Alinukuliwa akisema kuwa Megawatts 60,000 ndizo zitakazotifanya watanzania tujitegemee Kwa mahitaji yetu ya Umeme!
Ndiyo utambue hapo kuwa huyu Rais wetu, sijui huwa anawaokota jalalani hao wateule wake?[emoji41]
Kuna umuhimi mkubwa Sana wa kupata Katiba mpya ya nchi, ambayo itampunguzia madaraka makubwa mno Rais ya kufanya uteizi mbalimbali na Wala hapaswi kuulizwa, vigezo gani alivyotumia vya teuzi zake!
Kwa hiyo picha za ruaha kukauka hujaziona au!?..au hutaki kubali kuwa mabwawa ya kuzalisha umeme yamepungua kina!?..Kama alisema mitambo ilikua na uchakavu sababu haikufanyiwa maintenance muda mrefu,una tatizo gani na Hilo!?..hutaki au!?..sababu zote hizo zinafanya umeme usizalishwe na kupelekea mgao,gumu lipi kuelewa hapo!?2015-2021 hatukuwa na mgao wa umeme wala maji, vyote vilianza miezi baada ya Utawala huu kuja, kwa hiyo laana ya ukame iliwasubiri? Isitoshe Makamba Waziri muhusika alisema sababu ya mgao ni matengenezo ya Mashine ambapo hazikufanyiwa matengenezo kwa muda mrefu (2015-2021) ndio maana hakukuwa na mgao kipindi hicho na baada ya matengenezo kuisha mgao ungeisha na hakusema mambo ya ukame, sasa iweje narratives zinabadilila kila mara?
Sasa tufanyeje????Kwa sababu inapangwa hivyo, bila ya umeme na maji hauwezi kuendelea, kwa hiyo kama unataka mtu abakie masikini omba omba na tegemezi mnyime umeme na maji ya uhakika, usisahahu kwamba umaskini ni biashara pia, kuna watu wananufaika sana na umaskini uliopo!
Kwa hiyo picha za ruaha kukauka hujaziona au!?..au hutaki kubali kuwa mabwawa ya kuzalisha umeme yamepungua kina!?..Kama alisema mitambo ilikua na uchakavu sababu haikufanyiwa maintenance muda mrefu,una tatizo gani na Hilo!?..hutaki au!?..sababu zote hizo zinafanya umeme usizalishwe na kupelekea mgao,gumu lipi kuelewa hapo!?
Ukame ulikuwepo lini wewe,hata mienendo ya mvua unafuatilia!?..tangu magu aingie mwaka ambao ulikua na mvua duni ni 2016/17,lakini 2017/18 palikua na mvua nyingi mno,wakati 2020/21-21/22 mvua haikuwepo,na bado 22/23 tunaambiwa na tunaona mvua hakunaMiaka 5.5 tumeishi bila ya mgao wa umeme pamoja na ukame kuwepo, …
Megawatts 60,000 unazijua lakin au umekosea..?
Ukame ulikuwepo lini wewe,hata mienendo ya mvua unafuatilia!?..tangu magu aingie mwaka ambao ulikua na mvua duni ni 2016/17,lakini 2017/18 palikua na mvua nyingi mno,wakati 2020/21-21/22 mvua haikuwepo,na bado 22/23 tunaambiwa na tunaona mvua hakuna