Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Mwandishi wa pili kumiliki Range Rover tafadhali weka mkono juuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kulipwa 60m/=! Yale yale ya Ndulu, nimeacha bonge la kazi majuu, nimekuja hapa kupewa nyumba yenye swimming pool , marupurupu ya kufa mtu, ulinzi na Ma VX imekuwa issue kwa watu?!Range Rover!
...Bila kusahau na akili pia inakuwa hovyoukishakua wakala wa ccm ni kweli lazima hali iew mbaya na afya iwe mbaya pia
halafu ule uzi mwingine aliuleta kwa jina tofautiUdaku!
Yaani badala kutueleza kuhusu hiyo channel ya wanyama wewe unatuletea udaku!
Mkuu vyuo zaidi ya kimoja kwa hawa malecturer hazifiki nakwambiaAlikuwa anafundisha vyuo zaidi ya kimoja akikusanya income inafika!
Mada ilihusu matusi ya Ryoba.Udaku!
Yaani badala kutueleza kuhusu hiyo channel ya wanyama wewe unatuletea udaku!