Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Kuhoji pia ni sehemu ya kujenga taifa mzee. Taifa halijengwi kwa watu wote kuimba mapambio.Wakosoaji wanatamani wao ndio wateuliwe ila na mimi ningependa kufahamu zaidi ya kutukana mitandaoni ni nini wakosoaji hawa WA kila jambo wamelifanyia Taifa hili.
Labda wanataka wapate uteuzi kwa umahiri wa kukashifu mitandaoni.
Sio mnoko mnoko au mbinafsi? Rohombaya?Erick kazi anajua, Raisi hapo kapiga mule mule.
Huyu naye asije kuwa kama Yule Mwesigwa wa TPDC aliyeteuliwa na baadaye kuambiwa stopNiombe mwenye CV ya Mkurugenzi Mpya wa TPA lakini pia tupate experience yake pamoja na Miradi au ofisi alizowahi kuhudumu na mafanikio au mabadiliko aliyosababisha katika ofisi hizo.
Tumekuwa na wateule wa Rais ambao hawajawahi kufanikiwa popote walipowahi kufanya kazi, lakini pia utamaduni wakutumia vyeti vya taaluma nao umetukwamisha kwenye mambo mengi, utaratibu mmoja wakutumia makada wa CCM pia nao umelididimiza Taifa.
Ningependa kujua huyu Bwana huko alikokuwa alifanya nini hadi tumkabidhi bandari zetu?
Ukitafuta taarifa zake mitandaoni haupati ile flavour ya kupata nafasi ya Mkurugenzi wa bandari. Tukumbuke ili ni lango kubwa la uchumi wetu.
Kwani uteuzi wa Ndomba umetenguliwa ama muda wake wa kustaafu ulikua umefika?
Jamaa alikua mtu poa sana ...nadhani pia ni fitna na majungu kama ya TPDC
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Acha tumuoe, hatuwezi kumhukumu kwa makosa ya zamani.Niombe mwenye CV ya Mkurugenzi Mpya wa TPA lakini pia tupate experience yake pamoja na Miradi au ofisi alizowahi kuhudumu na mafanikio au mabadiliko aliyosababisha katika ofisi hizo.
Tumekuwa na wateule wa Rais ambao hawajawahi kufanikiwa popote walipowahi kufanya kazi, lakini pia utamaduni wakutumia vyeti vya taaluma nao umetukwamisha kwenye mambo mengi, utaratibu mmoja wakutumia makada wa CCM pia nao umelididimiza Taifa.
Ningependa kujua huyu Bwana huko alikokuwa alifanya nini hadi tumkabidhi bandari zetu?
Ukitafuta taarifa zake mitandaoni haupati ile flavour ya kupata nafasi ya Mkurugenzi wa bandari. Tukumbuke ili ni lango kubwa la uchumi wetu.
Hapo Mh. kaingizwa tena mkengeStatement Ya Ikulu Haisemi chochote zaidi ya nafasi ya DG kujazwa Na mtu mwingine.
Kwahiyo Uteuzi wake umefutwa Na Rais.
Kweli Jamaa Alikuwa Mtu Poa Sana
Midomo ya Watanzania ingalipo, jeuri ya Magufuli wenu ya kujibu shombo imemfikisha wapi?Ndio maana magufuli alikuwa jeuri na kuwajibu shombo maana watanzania mna midomo sana.
Sijajua kuhusu roho mbaya, unoko au ubinafsi. Ila kazi za shirika la meli lilikuwa chini yake kwa kipindi alichokaa hapo shirika limepata uhai. Kashawishi serikali kuekeza pesa ya kufufua shirika mpaka leo tunaongea pia kashawishi uundwaji wa meli kubwa ya mizigo bahari ya Hindi na ipo tayari kwenye mipango ya serikali.
Mungu kampa adhabu ya kujibu shomboNdio maana magufuli alikuwa jeuri na kuwajibu shombo maana watanzania mna midomo sana.
Marehemu hasemwi kwa mabaya kwa sababu hayupo ili kujitetea, tumkumbuke kwa mazuri tu Raisi wetu ambayo alijitoa kwa ajili ya watanzania wote.Mungu kampa adhabu ya kujibu shombo
Jibuni hoja sio kupuyanga puyanga tu huku watu wanapata uteuzi halafu baada ya miezi mitatu mnatengua!!! EXPERIENCE is very crucial kwenye hizi nafasi nyeti kwa uchumi wa nchi!Wakosoaji wanatamani wao ndio wateuliwe ila na mimi ningependa kufahamu zaidi ya kutukana mitandaoni ni nini wakosoaji hawa WA kila jambo wamelifanyia Taifa hili.
Labda wanataka wapate uteuzi kwa umahiri wa kukashifu mitandaoni.
Na hili ndo moja ya kitu ambacho hata mimi nilimkubali yani mpaka MV. Victoria ilitulia Mwanza South pale mkuu alipambana sana na MV. Clarius kimsingi watu wa MSCL wanamuelewa mchango wake.Alifufua shirika la Marine Services lilikuwa mbioni kubinafsishwa. Shirika lilikuwa linapewa ruzuku na Serikali lakini kwa sasa linajiendesha na lina Meli za kutosha ziwa ni.
Eng Chamulilo atakua kahusika kafanya kazi na Erick kwenye hiyo miradi ya MSCL hapo Eng Chamulilo akiwa katibu wa wizara kaona ni mtu sahihi kwa hiyo nafasiAisee sikuwa najua ndio nasoma hapa kumbe Erick ndio mkurugenzi mpya TPA?
Basi mmepata jembe.Cha msingi apewe uhuru asivurugwe na wakubwa.
Huyo jamaa ni jembe.
Mama Samia yuko vizuri dah!Sikujua hili ndio naliona kwenye uzi huu.
Acha uboya weyeKwa CV yake ingia Www.empower.co.tz
Mtu kuomba CV ndiyo kuwa mkosoaji?Wakosoaji wanatamani wao ndio wateuliwe ila na mimi ningependa kufahamu zaidi ya kutukana mitandaoni ni nini wakosoaji hawa WA kila jambo wamelifanyia Taifa hili.
Labda wanataka wapate uteuzi kwa umahiri wa kukashifu mitandaoni.
Okay.Aisee ningekuwa karibu na Erick ningemshauri mambo fulani katika kazi yake hii mpya.Eng Chamulilo atakua kahusika kafanya kazi na Erick kwenye hiyo miradi ya MSCL hapo Eng Chamulilo akiwa katibu wa wizara kaona ni mtu sahihi kwa hiyo nafasi
Mzigo aliopiga Mwanza South sio wa kitoto bado huko Kigoma na Lake Nyasa. Jamaa ana jua sana. Waziri kaona amvute wawe ofisi mojaOkay.Aisee ningekuwa karibu na Erick ningemshauri mambo fulani katika kazi yake hii mpya.
The guy is smart and a hard worker.Asijiingize tu kwenye siasa,abaki vile vile nnavyomjua,kazi yake na uadilifu wake vitaendelea kumpandisha.
Awe na misimamo atafika mbali.Nina mchanganyiko wa furaha na uoga hapa aisee i didnt know this!
Mungu amsaidie ila tu asibadilike,abaki Erick huyu huyu nnayemjua.He is good and competent but..siasa za bongo zinanipa worry about him.