Mkurugenzi mtendaji TPDC, Dkt. Mataragio asimamishwa kazi

Hii ya kusimamishwa tu haitoshi, na ikiwa kweli wameamua kumsimamisha maana yake tayari wamejiridhisha kwa tuhuma husika.
Nasubiri kusikia mtuhumiwa anafikishwa mahakamani ili akajibu mashtaka ya wizi na ufujaji wa mali ya uma.

Wewe ni maskini wa roho na mwili na fedha unayependa kusikia mabaya yakiwapata watu.Nina uhakika kabisa utakufa na roho yako ya chuki na visasi ngenga.
 
Kumsimamisha mtu kazi huku akiwa ameleta hasara kwa taifa ni kumpa fursa ya kula pesa za kifisadi.
 
Wewe ni maskini wa roho na mwili na fedha unayependa kusikia mabaya yakiwapata watu.Nina uhakika kabisa utakufa na roho yako ya chuki na visasi ngenga.
Mkuu,
Kwanza sijawahi kua na roho ya kwanini aka korosho.
Pili swala la wizi wa mali ya uma ni jambo la kukemewa kwa nguvu zetu zote, tena mtu anapo mtuhumiwa kwa kosa la wizi au ubadhirifu wa mali ya uma, ni lazima afikishwe mahakamani ili kuthibitisha kama kweli mtuhumiwa amehusika.
Pia yawezekana mtu akatuhumiwa na kumbe haja husika kwa ubadhirifu, pengine yawezekana wakawepo watu wanaomuonea kijicho.
Kwa maana hiyo kimpeleka mtuhumiwa mahakamani ni pamoja na kutaka kutafuta ukweli ikiwepo haki ya mtuhumiwa.
 
Subiri mahakama ya mafisadi ianze kazi, utawaona wote huko.
 
Kufanya kazi Tanzania shida tupu. Arudi zake Ulaya akale bata kwa mrija.
Kwa hiyo huko Ulaya unakosemea ndiko wanakofundishwa huo ukanjanja na utumishi usio simamia sheria..?
Na mtu akitoka Ulaya ina halalisha kuja kutuibia..?
 
Back
Top Bottom