jasirihalali
Member
- Oct 14, 2014
- 7
- 1
Sasa naskia ile ripoti ya CAG ambayo inasemekana ndio ilipelekea kusimamishwa kwa Mkurugenzi huyu imetoka, cha kushangaza ni kwamba hizo ishu hazijaongelewa hata kidogo na ripoti ni unqualified hivyo ni safi na hata katika kipengele cha manunuzi inaonekana taasisi hii imefuata utaratibu katika kufanya manunuzi ya umma kwa mwaka 2015...