jasirihalali
Member
- Oct 14, 2014
- 7
- 1
mbona watu hawakuchangia au uzushi?
Hizi tetesi au ulimbukeni wako kwenye hii mitandao?!Kuna tetesi nimezipata kwamba Wakurugenzi wanne TPDC akiwemo MD wamesimamishwa na body ya wakurugenzi kupisha Uchunguzi wa Ufisadi kwenye moja ya manunuzi.
Hii imetokea kwenye kikao kilichofanyika jana jioni na leo wameamriwa by saa mbili asubuhi wawe wamekabidhi ofisi
Subira huvuta heri!Hii ya kusimamishwa tu haitoshi, na ikiwa kweli wameamua kumsimamisha maana yake tayari wamejiridhisha kwa tuhuma husika.
Nasubiri kusikia mtuhumiwa anafikishwa mahakamani ili akajibu mashtaka ya wizi na ufujaji wa mali ya uma.
Na Magu alivyo jembe ukifukuzwa kazi unapandishwa kizimbani huachwi mitaani
Usalama umepungua makazini.
Magugumaji ameanza kula matapishi yake...enzi hizo kiburi na ulevi wa madaraka vimemjaa anafukuza tu kila asiyempenda!Kuna tetesi nimezipata kwamba Wakurugenzi wanne TPDC akiwemo MD wamesimamishwa na body ya wakurugenzi kupisha Uchunguzi wa Ufisadi kwenye moja ya manunuzi.
Hii imetokea kwenye kikao kilichofanyika jana jioni na leo wameamriwa by saa mbili asubuhi wawe wamekabidhi ofisi
Narudia tena, subira huvuta kheri. Alituhumiwa, akarudishwa, akapanguliwa, akarudishwa etc etc. Maisha ni safari ndefu hadi kufika uendako.Hii ya kusimamishwa tu haitoshi, na ikiwa kweli wameamua kumsimamisha maana yake tayari wamejiridhisha kwa tuhuma husika.
Nasubiri kusikia mtuhumiwa anafikishwa mahakamani ili akajibu mashtaka ya wizi na ufujaji wa mali ya uma.