Huu ujumbe utafutwa muda si mrefu!
Tukisema kuna watu elimu zao hazitoshi mtatuambia sisi ni wachochezi au tunajidai! Nilishasema na nasema tena kuwa kati ya idara zinazotakiwa kuwa na watu wa kila aina hasa katika dunia ya sasa ya sayansi na teknolojia, wakiwemo wataalamu waliobobea katika fani za kijasusi ukiwemo ujasusi wa kiteknolojia ni Idara ya Polisi/Usalama wa Taifa. Ujasusi huu sio tu kuvizia na kukamata data za watu wanaopingana na serikali au kufanya makosa mbalimbali kwa njia ya mtandao bali ni pamoja na kuiba teknolojia (hasa soft technology), siri, mbinu na maarifa mbalimbali kutoka watu au mataifa mengine ulimwenguni. Usitegemee kuendelea kwa kujifunza tu na kwamba ipo siku utawakamata wenzako ambao wako mbali kutoka kwako mamilioni ya kilometers bila kutafuta mbinu za kuiba maarifa yao.
Je, ni kweli polisi wameshindwa kabisa kuhack servers za JF kiasi cha kuamua kumkamata jamaa "red-handed" ili awape data za watumiajia wa jf wanaowatafuta kwa mkono wake, au awape logins waingie na kupekua?
Je, kama hamuwezi kuhack server kwa nini msikodishe wataalamu, "hackers" waliojaa kila kona ya dunia? Hao jamaa ukiwaahidi hela hawafanyi makosa, ni asubuhi wanakupakulia database za jf: majina, ip addresses, user log files, geographical locations na info zingine muhimu.
Nendeni deep web, watu wanashindana kuhack sites kama vile kubet au kushangilia soccer la ligi za England! Au kodisheni makampuni kama vile
Cellebrite - mamafia ya Kiisrael ambayo yamebobea kuhack, kuanzia simu mpaka kitu chochote ambacho ni connected na web.
See more:
10 Best Hackers The World Has Ever Known.
Hakuna profession tamu kama
hacking!