Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Hata mimi mwenyewe nilijiuliza ina maana wale wanaowakamataga huko facebook huwa wanawakamata kwa msaada wa Mark Zuckeberg kuwapa taarifa au? na kama jibu ni hapana wanawapataje taarifa zao hadi kufanikiwa kuwakamata!!?

nadhani kuna sababu ya ziada tusioijua
 
Nadhani kuna makosa yanayohitaji treatment tofauti na makosa mengine. Nadhani kwa JF serikali ingejikita kutafuta kodi zake badala ya kujilinda zaidi. Serikali inayojiamini inakubali kusemwa ili iongoze vizuri kwa manufaa ya wananchi.
 
Fb watu wengi wanatumia majina yao na hata wakitunia tofauti kuna ule ujinga wa kufrendiana hadi na unaojuana nao ndo maana ni rahisi kumpata muhusika.

Huku JF wamejikuta ni hadi maxi awape IP, locations, namba za simu na vitu km hvyo ndo watusue.
 
kupitia namba zao za simu
 
Kwa anayefahamu kinachoendelea kuhusu Max atujuze, maana nimeona kuna wengine wamesema leo alipelekwa mahakamani. Mimi niko interested na kosa ambalo amelifanya, i.e. The charges.
 
Tanzania imegeuka kuwa koloni la Rwanda hatujawahi kuwa katika hali ya namna hii tangu uhuru. Jokolilo leo kaamua kujifanya bosi mbele ya mabosi zake (wananchi) hamna shida tutavumilia ila adhabu yake ni 2020 kwenye sanduku la kura tunajua atajiandaa na figisu lakini tutashinda
 

Mimi naona ingekuwa ni ubora zaidi kila anaeleta hoja humu au habari yoyote muhimu aweke link ni wapi amepata habari hizo,kama hana link wala uhakika wa habari zake basi ni bora azihifadhi mwenyewe.Asanteni
 
Mike Mushi mwakilishi mwenza mhhhhh!!!!!!!!!!!!!!! Hapa unadhani nini? Acheni hizo......Tumieni mitandao iwe huru na isitokeze baadhi yenu kutumikia wanasiasa.
 
Mimi naona ingekuwa ni ubora zaidi kila anaeleta hoja humu au habari yoyote muhimu aweke link ni wapi amepata habari hizo,kama hana link
wala uhakika wa habari zake basi ni bora azihifadhi mwenyewe.Asanteni
kuna watu humu utadhani wana tenda ya kuchafua serikali kila siku wanazusha hili na lile.
 
Sasa kweli umekuwa mac nimependa ulivyoongea hekima na busaraa kwa watzd wengI hawwna big up bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…