Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Hata mimi mwenyewe nilijiuliza ina maana wale wanaowakamataga huko facebook huwa wanawakamata kwa msaada wa Mark Zuckeberg kuwapa taarifa au? na kama jibu ni hapana wanawapataje taarifa zao hadi kufanikiwa kuwakamata!!?Natafta majibu lakini mpaka muda huu hayajakamilika ndio maana najiuliza hivi ni jamiiforums pekee ndo yakutoa access ya server? Vipi mitandao mengine kama facebook, twitter na instagram, mbona wamiliki hawajakamatwa watoe access za server za mitandao yao ?
nadhani kuna sababu ya ziada tusioijua