Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Si JF ilishinda kesi mahakamani sasa amekamatwa ki vipi?

polisi mshahara hautoshi. Kuna jamaa alikamatwa mzee wao kule Zenj na walikuwa njiani kumbambikizia kesi ya ugaidi . Jamaa zikawatoka milioni 6 ndio wakamuachia mzee.

yasije kukumkuta Mello
 
Sidhani kama watakuwa wamemshindwa Mange Kimambi. Inawezekana ni suala la muda tu. serikali haishindwi kitu. Cha kuombea mtandao wetu ubaki salama

Nitakumiss sana nikiwa jela bwana Lizaboni kwa hizi hekaya zako za kwamba serekali haishindwi kitu. Unataka tuorodheshe vitu ilivyoshindwa?
 
JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!

CEO wa JF asipumbazwe na watu wanaosapoti kwenda kinyume na Serikali hapa, wengi wao wana maisha yao na wala hawaishi TZ, na JF ikifa kesho, au ofisi ya JF kunyimwa kibali cha kufanya kazi TZ hawana cha kupoteza, zaidi ya kuhamia kwenye mtandao mwingine na kuendeleza wanayoyafanya, hivyo angalia maisha yako na familia yako, fanya lililo sahihi na jinsi Serikali inavyokutaka kwani mwisho wa siku Serikali ndiyo yenye nchi, watakushauri wanachama wa JF wanavyotaka lkn Serikali ndiyo wasimamizi wa hii nchi!
Kwa hiyo unataka ichezwe ngoma ya kumfurahisha mfalme tu.anything against the king and the empire anything exposing weakness of the govement ukamatwe tu.
Kenya walking ka kwenye machafuko kwa sababu za uchaguzi walidhulumiana ushindi,nakumbuka mpaka marehemu kivuitu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi aliulizwa Nani kashinda akajibu hata ajui.
Rwanda na Burundi wala usisingizie media ndugu,wao ni wenyenywe kwa wenyewe I mean two tribes the hutu and the tutsi na historian inaeleza vizuri sana why the Hutu and the Tutsi wend into inter tribal war.
Huku kwetu Tupo salama,sijaona pale mjaluo anamsema vibaya mpare au mzinza,tunabigiana kura Kama kuwa bila kuangalia Huyu ni wa ukanda au dini gani.
 
Pole kwake, ni vema kutoa ushirikiano kama katiba yetu inavotaka. Nchi yetu ndio inakuwa kwenye masuala mbalimbali ikiwemo teknolojia ya mawasiliano.

Teknolojia hii ya mawasiliano ikitumika vizuri ina faida kubwa sana ila ikitumika vibaya huweza kuleta machafuko makubwa sana.

Tafakari mwenyewe mtu anatoa taarifa za uongo na kielelezo chenye barua,muhuri na sahihi za wasemaji wa ikulu, mtu anaedit clip na sauti za mkuu wa nchi.

Humu jf kuna watumiaji wengi sana taarifa ikiwa ya uongo au uchonganishi au upotoshaji itasambaa kwa haraka sana, kwa hiyo ni vema serikali inavyochukua hatua sasa hivi kuhakikisha kwamba member yeyote akihitajika kwa wakati wowote inakuwa rahisi kumpata.

Sasa ifike wakati members wa jf kwenye usajili wao tuwe na picha halisi na taarifa halisi kama picha za kitambulisho,taarifa hizo mods wawe nazo sisi tuendelee na user id zetu vyeki.
 
how can you neutralise Watch eight rampant headlines without introducing min "housing "?
 
1-Imeanza na Maono ya Lema na kukosa kwake dhamana.
2- Mara Ben kupotea-na hajaonekana
3-Mara Wakimbizi haramu (Maiti saba)-bila uchunguzi wametokea wapi?
4- sasa Jf founder kukamatwa na kunyimwa dhamana! Nawaza tu nini kinaendelea?
 
jamani hivi hii tanzania tunaelekea wapi? maana kilasiku vitu vya kijinga haviishi yaani mtu unakamatwa bila kosa?
 
Kuna Postive na Negativ..kuna baadhi ya yetu humu JF uwa tunachangia hoja kwa evidnce nzito..smtmz polis wanatafuta evdnce ya tukio flani ukiingia JF unakuta member moja ameliongelea lile tukio kiundan zaidi lazima polis watafute evidnce hapa..
Sure.
 
Back
Top Bottom