Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si JF ilishinda kesi mahakamani sasa amekamatwa ki vipi?
Sidhani kama watakuwa wamemshindwa Mange Kimambi. Inawezekana ni suala la muda tu. serikali haishindwi kitu. Cha kuombea mtandao wetu ubaki salama
Tuchangeni jamaniKwa kosa gani?
Nimekumbuka huu uzi
https://www.jamiiforums.com/threads/jamiiforums-members-cybercrime-fund.831679/
Pole sana ndugu Mello.
Sasa si wamfuate huko alipoZile kashfa za mange kimambi zisingeweza pita bure .....
Wanataka usifie tuMimi mambo ya kukaa kimya ndo nisiyoyaweza mkuu.
Na hawatafanikiwa kamwemimi nafikiri kuna watu wanataka kuitetelesha jf ili waimalishe au waanzishe mtandao wao utakaowaletea faida binafsi hasa ki vyama.
I cant imagine a world without JamiiForums .....
Kwa hiyo unataka ichezwe ngoma ya kumfurahisha mfalme tu.anything against the king and the empire anything exposing weakness of the govement ukamatwe tu.JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!
CEO wa JF asipumbazwe na watu wanaosapoti kwenda kinyume na Serikali hapa, wengi wao wana maisha yao na wala hawaishi TZ, na JF ikifa kesho, au ofisi ya JF kunyimwa kibali cha kufanya kazi TZ hawana cha kupoteza, zaidi ya kuhamia kwenye mtandao mwingine na kuendeleza wanayoyafanya, hivyo angalia maisha yako na familia yako, fanya lililo sahihi na jinsi Serikali inavyokutaka kwani mwisho wa siku Serikali ndiyo yenye nchi, watakushauri wanachama wa JF wanavyotaka lkn Serikali ndiyo wasimamizi wa hii nchi!
Kwa sababu amekataa kutoa taarifa za siri za watumiaji wa jamii forumkakamatwa bila sababu?
Hivi wakinitaka mimi kwa a mfano watanipata pata vp?Kwa kosa la kuwanyima polisi maelezo binafsi ya members wa Jf .
Sure.Kuna Postive na Negativ..kuna baadhi ya yetu humu JF uwa tunachangia hoja kwa evidnce nzito..smtmz polis wanatafuta evdnce ya tukio flani ukiingia JF unakuta member moja ameliongelea lile tukio kiundan zaidi lazima polis watafute evidnce hapa..