Asingekuwa wa kwanza...... juzi tu maiti za watu zimeokotwa mtoni. Binafsi nashangaa kwa nini watawala wetu wanatumia sheria za kikoloni kutawala alafu wanasema nchi ni huru.Tena imejulikana kakamatwa .Je hangesinge julikana alipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asingekuwa wa kwanza...... juzi tu maiti za watu zimeokotwa mtoni. Binafsi nashangaa kwa nini watawala wetu wanatumia sheria za kikoloni kutawala alafu wanasema nchi ni huru.Tena imejulikana kakamatwa .Je hangesinge julikana alipo
Tunahitaji busara daima tunapocomments issuesView attachment 445705
Mkurugenzi mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo, ameitwa na baadaye kuwekwa ndani, Central Police.
Polisi wanaeleza muda huu kwamba leo atalala ndani hadi kesho atakapofikishwa mahakamani.
Maxence Melo anakamatwa huku kukiwa na Kesi ya Kikatiba dhidi ya taarifa ambazo Jeshi la Polisi wanazitaka, kesi namba 9 ya mwaka 2016 dhidi ya Jamii Media dhidi ya polisi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kesi ambayo mahakama kuu itatolea hukumu, tarehe 20 Februari.
View attachment 445705

HatariMmmh huku sasa ni kufungana midomo kilazima
Usimlaumu Dobi wat rangi ya kaniki inajulikanaKwani sie tunajielewa sasa
Dooh.....kumbe una roho nzuri kiasi hiki!!Insikitisha sana. Tunamuombea kila la kheri Max.
Bila ya kuweka neno "hata" hapo nilipoliweka tafsiri yangu kuhusu andiko lako ilikuwa sahihi.Sheria ya mitandaoni ilipitishwa kipindi "hata" Magufuli hategemewi kuwa Rais
Eeh! Ndio,nani kakutuma uunge mkono uhalifu.Mwishowe watakamata hadi waliotoa like kwenye mjadala
Kwani hata mkikosoa kuna faida gani? kuna mtu alikosolewa sana humu ila sasa ndiyo anasifiwa bila hata kujua yale aliyokuwa anakosolewa amesahisha vp?Ikosekane, sio kila unalosemwa au kulisikia likufanye ushindwe kutimiza malengo , minadhani JF ifungiwe tu, Facebook , twitter na mitandao yoooote.
Mnatka, tukae kwenye social media tukiongea the same way?!!!! Kwamba tunaipongeza...... Tunampongeza.......... Zombie sie?!!! Yazimwe tu!!!
Poleni wakubwaAwamu zote 4 za nyuma zingekua kama hii zamani mi ningeshaomba urai wa nchi nyingine
Umeanza kujikombakomba na wewe,hahahahahahahahahahahaMh Rais;Anafanya kazi nzuri sana.Tuzid kumuombea na kumpa ushirikiano.....hivi ndivyo anavyotaka.
Naona lawama zote zinaenda kwa Magufuli tu basi pia Kikwete apewe nae sifa zake, maana isemwa kuwa haya mambo hayakuwepo kipindi chake.Magufuli Hoyee...CCM Hoyee! ndo kuisoma namba kwenyewe huko. Hadi wote tubaki tukiimba utukufu kwa JPM!