Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Tafuta ile barua ya Ikulu ikiwa na muhuri wa ikulu na sahihi ya msemaji wa ikulu ikielezea kutenguliwa uteuzi wa mrisho gambo ile ilikuwa ni Pure Criminal case ilipostiwa humu JF kwa mara ya kwanza baada ya ugomvi wa Lema na gambo
Ok, lakini sioni kama hiyo inaweza kuwa sababu ya polisi kumkamata huyo jamaa!
 
Humu ndani hata watu wakitoa lugha chafu mnasema freedom of speech.

Tutofautishe kuropoka na Freedom of speech.

Lugha chafu sawa yastahili adhabu yake, lkn umeona huyu dada alie negative 24/7/366 kajibu nini? Aki kama kaolewa mumewe ana kazi mno, I guess mume km anae atakuwa anaomba ushauri mmu kila siku.
 
Wao wawakamate tu mwisho wa siku watuoneshe ben yu wap
Hii ishu ya Ben watu waanzishe masako hatua ya kumtafuta kutoka siku aliyoindoka kwake track down mara ya mwisho aliongea NA nani mkisubiri aletwe mtasubiri mpaka yesu arudi



by the way kaangalieni mange alichoandika leo labda mtapata majibu ya ben na max
😱😱😱😱😱
 
Tatizo la hawa walinda amani wetu, wao hutumia nguvu kuliko kufuata sheria.
Mbona wale wa marekani wa Apple, walikataa kushirikiana na FBI lkn hakuna hata waliowekwa ndani
Nchi za kiafrika za kijinga sana. Wao kila kitu wanakuruzinzalize.

mkuu

upo sahihi.
 
Watumiaji hawako salama.
Max. Atakataa kutoa taarifa kwa muda lakini baadae atashindwa...
Bora kwa wa watumiaji huu mtandao ukawa deactivated kwa muda wa wiki moja then uka flush data zote za members na kuanza upya kuandikisha watumiaji...otherwise wengi wataumizwa kwani wengi wanatumia internet za simu kutumia jamii forum. Akikubali kutoa basi ni watakamatwa wengi ...
Mkuu naona kuna point hapa ,Mimi nakuunga mkono. Huu ni moja ya ushauri mzuri sana Mod 1 please keep under consideration huu ushauri wa Macos
 
Lazima yote hayo yangetokea Kwa kisingizio cha kuvunjwa kwa sheria ya kimtandao, tumuombee ili atoke kwa sababu serikali hii ni kama jamii ya kambale kila mtu anasharubu!
 
Humu ndani hata watu wakitoa lugha chafu mnasema freedom of speech.

Tutofautishe kuropoka na Freedom of speech.
Ninavyoona ni zaidi ya lugha chafu. Pengine inahusu walioongea ukweli 'kuvujisha siri' kuliko waliochangia.
 
Non sense sometimes fikiria kabla ujacomment jamamiiforums anahaki yakulinda wateja wake police wanatakiwa wanaposika jambo waishirikiane na jamiiforums kufanya upelelezi je swallinalozungumziwa linaukweli nakuchukua hatua nasikutumia nguvu kksawao polisi kulinda wapugadili
 
Haya yanasababishwa na Paschael Mayala kumuuliza MKULU swali au kuna kitu gani behind the scene ?

kuna maana gani polisi kutaka kupewa list ya watumiaji.

Hili swala linazua maswali zaidi kuliko makibu.
 
Sidhani kama kuflash data kunasaidia. Technology imekua sana hata ukifomat hard disk bado kuna software za kurestore data
 
Back
Top Bottom