Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

kuna memba humu ni vipere vya sizonje make kaul zao hazna tija kwa members wa jf lkn pia kwa mkurugenzi alijitoa ku2nza siri za wanamember ambao kwa ujumla wako huru kusema kile ambacho nafsi imeguswa kwa namna moja au nyingine pas na kuvunja sheria za nch,iweje police waingilie uhuru wa m2 wa kupata na kutoa habar kama katiba ye2 inavyosema au ndo mwendelezo wa kuwanyima raia uhuru wa kupata habar kama ktk bunge walilojichanganya maelezo viongoz wa nch ktk kutoa maelezo juu ya urushwaj wa matangazo ya bunge? 2sifke huko watanzania,kupitia jf watu 2najifunza meng yanayojir ktk nch hii na nje ya nch kwan kunamchanyato wa wasomi! police msitumike kias hcho jifunzen kutoka nch zilizoendele kama marekan,mwanch anaandika ya kumpinga trump lkn police hawajawa vipele
 
Mkuu KAULI ya kusema "fanya yako na familia yako naomba uifute" ni Kauli ya kishenzi na ninaomba ipuuzwe

fikiri tena leo hii wazee walioipigania TANGANYIKA na sasa tanzania enzi ya ukoloni wangetumia Kauli yako ungekua wapi au sote tungekua wapi
Aitumie yy na wazazi wake na nduguze kama watakubali
 
JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!

CEO wa JF asipumbazwe na watu wanaosapoti kwenda kinyume na Serikali hapa, wengi wao wana maisha yao na wala hawaishi TZ, na JF ikifa kesho, au ofisi ya JF kunyimwa kibali cha kufanya kazi TZ hawana cha kupoteza, zaidi ya kuhamia kwenye mtandao mwingine na kuendeleza wanayoyafanya, hivyo angalia maisha yako na familia yako, fanya lililo sahihi na jinsi Serikali inavyokutaka kwani mwisho wa siku Serikali ndiyo yenye nchi, watakushauri wanachama wa JF wanavyotaka lkn Serikali ndiyo wasimamizi wa hii nchi!
Mbona kuna nyuzi nyingine zilizokaa kichochezi huwa wanazifuta,au kuzifungua,au hizo BAN wanazopewa members huwa kunakuwa na sababu,humu pia kuna taratibu na sheria pamoja na haki za wanachama......ni vile tu watu wanataka kucontrol kila sehemu kitu ambacho hakiwezekani ,kinachowezekana ni wao wajicontrol wenyewe na kuwavumilia wananchi kama sisi tunavyowavumilia.

Na wakati mwingine ni vyema kujua tabia za watu unaowaongoza,na utawajua kupitia uhuru utakaowapa mfano hasira zao zinaishia wapi,wanakukubali kwa kiwango gani...etc ila ukitaka kufuga unafki utasikia ..... ngja niishie hapa[emoji40]
 
Jeshi la polisi nafikiri mna mambo mengi ya msingi na ya maana ya kufanya zaidi ya hili la kumkamata na kumweka max ndani bila sababu ya msingi kwa sababu mlimwita saa tatu kaja saa tano....?

Kwa sababu mmeomba info za mtumiaji wa jf kawanyima ???? Hivi hamjifunzi kutoka kwa wenzenu nchi zingine ?? Kwa nini msihack mkaingia mkachukua mnachotaka mkafuta foot print mkasepa ??? Au hamuwezi tuwafundishe ???

Mnaacha kudeal na vibaka,majambazi,wezi wauza unga na bangi,wanaosafirisha binadamu nje nchi manaowajua wapo mitaani mnakuja kuhangaika na max ???

Mnampa umaarufu wa bure,nakumbuka enzi zile mlimdaka kipawa mkamweka karibia miezi 6 mkamamwambia afute kila kitu mlifanikiwa kiasi flani lakini mlifunika panapofuka moshi na majani makavu sasa la sasa hivi litakua zaidi ya lile nawahikikishia atawashinda kesi na atakachokuja kukipublish mtafurahi na roho zenu.Nafikiri kuna mambo mengi ya msingi ya kufuatilia zaidi ya hili.
 
JF ina rensponsibility kubwa sana, kama vivlivyo vyombo vingine vya Habari, kuna mambo mengi ya uongo na uzushi huletwa humu na kuachwa, ikumbukwe kwamba nchi nyingi kama Kenya, Rwanda, Burundi n.k Vita ililetwa na Vyombo vya Habari kama redio na TV, hivyo JF ina jukumu la kulinda amani ya nchi, kama ni kweli amekamatwa, na kama siyo kweli basi wajifunze na wabadilike, watambue jukumu lao kwenye Jamii!

CEO wa JF asipumbazwe na watu wanaosapoti kwenda kinyume na Serikali hapa, wengi wao wana maisha yao na wala hawaishi TZ, na JF ikifa kesho, au ofisi ya JF kunyimwa kibali cha kufanya kazi TZ hawana cha kupoteza, zaidi ya kuhamia kwenye mtandao mwingine na kuendeleza wanayoyafanya, hivyo angalia maisha yako na familia yako, fanya lililo sahihi na jinsi Serikali inavyokutaka kwani mwisho wa siku Serikali ndiyo yenye nchi, watakushauri wanachama wa JF wanavyotaka lkn Serikali ndiyo wasimamizi wa hii nchi!

Wee dada unaelewa maana ya FREEDOM OF SPEECH?
Yani wewe sijui wa wapi you ARE SOOOO NEGATIVE!
 
Hivi kuforge sahihi ya Msemaji wa ikulu sio kosa ?

Naomba niishie hapa na wewe acha nicomment kwa wenye akili timamu.
Ni kosa pia kuforge hukumu ya mahakama!Kama mkurugenzi dar aliforge wazi hukumu ya mahakama na hakufanywa kitu na anajulikana,tutegemee nin kwa wengine?
Au sheria zipo kudeal na watu wa mlengo fulani
 
haya haya kashaanza na huku kama walivyotabiri wataalamu wa mambo
Mwenyezi Mungu amlinde mkurugenzi wetu na ampe ujasiri wa kusimamia kile ambacho anaamini kwa manufaa ya watanzania wote.
 
Unataka kutuambia nini Mkuu ? Unawaweka watu kwenye mtego eeh ?

Ngoja niende kule kwenye mapenzi japo sie wengine tuna nyota za punda mpaka tubebeshwe mzigo ndio tule
MMU naomba mnipokee
 
akili bavicha bwana. Kwasababu kuna mwizi kaiba kuku na hakuchukuliwa hatua basi na wewe unatumia hiko kama kigezo kwenda kuiba.

Dah acha nilale
Lala tu,tunasema hakuna haki kwenye utawala huu dhalimi
 
Wee dada unaelewa maana ya FREEDOM OF SPEECH?
Yani wewe sijui wa wapi you ARE SOOOO NEGATIVE!
Humu ndani hata watu wakitoa lugha chafu mnasema freedom of speech.

Tutofautishe kuropoka na Freedom of speech.
 
Back
Top Bottom