Zikomo Songea
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 670
- 580
Ni lazima kuendana na wakati na mazingira ya sasa! Hiyo ndiyo busara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, lakini sioni kama hiyo inaweza kuwa sababu ya polisi kumkamata huyo jamaa!Tafuta ile barua ya Ikulu ikiwa na muhuri wa ikulu na sahihi ya msemaji wa ikulu ikielezea kutenguliwa uteuzi wa mrisho gambo ile ilikuwa ni Pure Criminal case ilipostiwa humu JF kwa mara ya kwanza baada ya ugomvi wa Lema na gambo
Humu ndani hata watu wakitoa lugha chafu mnasema freedom of speech.
Tutofautishe kuropoka na Freedom of speech.
Hii ishu ya Ben watu waanzishe masako hatua ya kumtafuta kutoka siku aliyoindoka kwake track down mara ya mwisho aliongea NA nani mkisubiri aletwe mtasubiri mpaka yesu arudiWao wawakamate tu mwisho wa siku watuoneshe ben yu wap
Kwani Kuna Sheria inakuhusu Lowassa kutukanwa?Mkuu sheria ifatwe ukamatwe wewe unayemtukana Lowasa kila siku hapa.
Kila mahali fb watu kibao wana avatar za BenBen Sanaane kupotea kwake ni humu jf ndio kunazungumziwa sana so wht do u expect?
Mkuu sheria ifatwe ukamatwe wewe unayemtukana Lowasa kila siku hapa.
Tatizo la hawa walinda amani wetu, wao hutumia nguvu kuliko kufuata sheria.
Mbona wale wa marekani wa Apple, walikataa kushirikiana na FBI lkn hakuna hata waliowekwa ndani
Nchi za kiafrika za kijinga sana. Wao kila kitu wanakuruzinzalize.
Mkuu naona kuna point hapa ,Mimi nakuunga mkono. Huu ni moja ya ushauri mzuri sana Mod 1 please keep under consideration huu ushauri wa MacosWatumiaji hawako salama.
Max. Atakataa kutoa taarifa kwa muda lakini baadae atashindwa...
Bora kwa wa watumiaji huu mtandao ukawa deactivated kwa muda wa wiki moja then uka flush data zote za members na kuanza upya kuandikisha watumiaji...otherwise wengi wataumizwa kwani wengi wanatumia internet za simu kutumia jamii forum. Akikubali kutoa basi ni watakamatwa wengi ...
Lakini si wa hapa Tanzania... Kwani unadhani polisi ndo wanamtaka Melo basi....Tumieni vizuri uhuru wa kutoa maoni. Wenye akili timamu tunajua polisi ni chombo cha usalama.
hata kama polisi ni chombo cha usalama lakini mm jeshi la polisi la hapa nchini sina imani nalo.Tumieni vizuri uhuru wa kutoa maoni. Wenye akili timamu tunajua polisi ni chombo cha usalama.
Ninavyoona ni zaidi ya lugha chafu. Pengine inahusu walioongea ukweli 'kuvujisha siri' kuliko waliochangia.Humu ndani hata watu wakitoa lugha chafu mnasema freedom of speech.
Tutofautishe kuropoka na Freedom of speech.
Dah,naona uhuru wa kutoa maoni wananchi unaanza kuminywa