Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Sawasawa
 
Code rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
 
Dakika za mwisho wa jpm alikuwa nae anajua a to z hofu imemkuta malipo hapahapa
 
inamankusweke
Acha ujinga wako!!kwani yeye ndiye daktari pekee aliyewahi kuwatibu marais?kuna madaktari wangapi walikuwa wanawatibu marais na bado hawajawahi kuwa na ulinzi mkubwa?!!ndio maana mdau amekutana nalo na kuja kuuliza, ili kujua kuna kitu gani cha utofauti zaidi, wewe hata hujui kitu unakuja tu, eti daktari anatibu marais ndio awe na ulinzi huo?!!
 
Sijui hata nawaza nini, au basi. . .maana huu mtiririko Akili inanipa picha nyingine kabisa.
 
Kile ni kifaa kwa namna ya uelewa wangu alifaa kuwa waziri wa afya. Apewe tu ulinzi ni haki yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…