Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Vipi kuhusu yule aliokufa kwa kuangukiwa na kontena juzi huko Mlandizi yeye hakuwa muhimu? ukiona mtu anawekewa kipenyo ujue kuna ishu hapo kipindi cha jiwe hadi wakurugenzi wa halmashauri walikua na vipenyo.
 
Umemsahau DOCTA MASAU aliyekuwa anategemewa huko marekani akaamua kurudi nyumbani?
 
Umemsahau DOCTA MASAU aliyekuwa anategemewa huko marekani akaamua kurudi nyumbani?
Hiv huwa wanawaza nini kurudi TZ.? Au wanakuwa wamefukuzwa huko?
Labda kama wawe wanarud kuja kufanya personal projects ila kuitumikia serikali, Noooooo!!siwezi fanya huo ujinga..
 
Usituaminishe utahaahira wako .......hata wewe ni MTU muhimu mno na kutengeneza MTU kama wewe ni gharama Sana japo ni tahahira...........wewe endelea na puchu zako ukadhani kuna kitu utagundua ......zaidi ya kujiona huna thamani
Ujinga wa watu weusi kumtegemea mtu mmoja badaka ya ku invest kwa wengine ili kutengeneza proffesional wengine kama yy na zaid yake..Sasa huyo Janab akifa ndio hiyo taasis itakuabimefika kikomo au?
 
Wakati wakimlinda huyo Janaba wanawaacha wasomi muhimu kina Ngowi wakiangukiwa na makontena!
 
Ila Proffesa Ngowi yeye hakuwa mtu muhimu kwa nchi hii?

Je maprofesa wote na madaktari wa wakubwa nchi hii wanapewa huo ulinzi?

Wacha alindwe ila iko siku ya Mungu kutenda haki itafika tu.
 
Kweli sio mtu mdogo anayajua mengi kuhusu Mzoga na ubaya wake kwa jamii ya wanyonge wa nchi hii.
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
Duh, Imehama tusinywe Bia,tusinywe Soda ...Sasa hata Maji yana Madhara... madaktari Mungu anawaona..!
 
Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!

He is a nutty professor
Hii comment yako imenifanya nitafute kiundani
===
Daa ulaji wetu ni tatizo kwa kweli. Tujichunguze na kujirekebisha!
===
Prof. yupo makini sana!
===
Kwa wakati wako hakikisha unamsikiliza mwanzo mwisho, Hakika Elimu kubwa utapata👇
Code:
youtube.com/watch?v=yJp4tQxq8uI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…