mbona sababu za kulindwa zinaelezeka??Hahahahhhah hatari sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona sababu za kulindwa zinaelezeka??Hahahahhhah hatari sana aisee
Halina jibu la moja kwa moja kuwa ni wangapi ila inategemea na nafasi ya anayelindwa!!kwa daktari bingwa hata akiwa na walinzi 2, tu, huo ni ulinzi mkubwa sana!!Kwani ulinzi Mkubwa ni Kuanzia walinzi wangapi ili tupate standard ya uliznzi mkubwa tunapoendelea na Kujadili hapa jukwaani
Daah hata mimi najiuliza iliwezekanaje?Magufuli nae,ujanja mwingine huondoa maarifa hivi unaanzaje kutibiwa na Daktari wa mtangulizi wako?
Hata dr wa dawa za mchongo hujamuona!Kwenye code za yoga sija msoma
Code rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
Kwa nini ulazimishe kuonana na Janabi wakati madaktari wapo wengi tu? Kama ni ishu personal, msubiri nyumbaniKuhudumia marais ndio sifa ya kulindwa sana au kuna lingine?
Na bado utasikia kafariki kaacha wanaobugia dona na wali kila baada ya saa moja😀Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Umesema ukweli wakishangia kwenye siasa tu basi kila kitu kitaharibika. Refer Prof. SarungiSasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?
Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.
Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
Huu ni uongo.kwamba akifa basi Leo pale JKIC na kazi zimekufa?NI DAKTARI BINGWA MUHIMU MNO NDANI YA TAALUMA HIYO NI MTU AGHALI SANA HATA KUMTENGENEZA MWINGINE.
Acha utani aisee, Prof Sarungi umemuonea hapo. Ni one of the best Dr's ambao tumewahi kuwa nao. Unamlinganisha na huyu kigwangalla? Kweli?Profesa Sarungi ni daktari lakini hakuwahi kuwa tegemeo la Moi.
Ni kina Kigwangwalla tu hao.
HakikaSisi hatuna shida naye, aturudishie ile betri tu basi
Bila shakaHakuna siri ya watu wawili
Nimemsikia kwenye clip anawaambia wananchi kuwa makini na juice za kutengenezwa, na kwamba yeye ana miaka mingi hajanywa soda, nahisi tayari ameingia kwenye vita na wanaozalisha vinywajiIweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
😛John Lennox (Prof. of Mathematics) aliwahi kuandika " Nonsense remains nonsense even when spoken by famous scientists"Janabi huyu anayetuambia tusile maharage, tusile matunda, tusinywe maji, tusile nyama, tusile ugali, tusile ubwabwa, tusile hiki, tusile kile!!!
He is a nutty professor
Hii ndio hypothesis pekee inayoleta sense labda kama kuna lingine tusilolijua.Wewe huelewi nini? Insinuation ni kuwa ametumika, kuondoa adui na sasa marafiki wa adui wanamtafuta kulipiza.
Daktari wa jpm ni makubiJanabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Unfortunately; all famous scientists have had never uttered any kind of nonsense words and if at all any; then they were not speaking in the realm of science but possibly on some other field such as those related to jokes, comedy or similar.😛John Lennox (Prof. of Mathematics) aliwahi kuandika " Nonsense remains nonsense even when spoken by famous scientists"
Dr wa jpm ni makubiDakika za mwisho wa jpm alikuwa nae anajua a to z hofu imemkuta malipo hapahapa