Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Kwani ulinzi Mkubwa ni Kuanzia walinzi wangapi ili tupate standard ya uliznzi mkubwa tunapoendelea na Kujadili hapa jukwaani
Halina jibu la moja kwa moja kuwa ni wangapi ila inategemea na nafasi ya anayelindwa!!kwa daktari bingwa hata akiwa na walinzi 2, tu, huo ni ulinzi mkubwa sana!!
 
Sasa umtowe daktari bingwa wa moyo anayeokowa maisha ya wengi umpeleke kwwnue kundi la wala kodi hiyo itakuwa ni akili au matope?

Nitajie daktari bingwa unayemjuwa anayeacha field yake kwenda kwenye hizi siasa uchwara au hata kuteuliwa huko.

Fuatilia vizuri historia ya mtu anayeitwa Profesa Shaba Nyerere aliwaomba Waingereza wamuache Prof Shaba arudi Tanzania kuja kusaidia Taifa lake lakini Waingereza walimuahidi kumpa Nyerere madaktari watano kumreplace Profesa Shaba lakini Nyerere alikataa hatimaye Profesa Shaba ilibidi arudi Tanzania kulitumikia Taifa.
Umesema ukweli wakishangia kwenye siasa tu basi kila kitu kitaharibika. Refer Prof. Sarungi
 
Wewe huelewi nini? Insinuation ni kuwa ametumika, kuondoa adui na sasa marafiki wa adui wanamtafuta kulipiza.
Hii ndio hypothesis pekee inayoleta sense labda kama kuna lingine tusilolijua.
 
Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Daktari wa jpm ni makubi
 
😛John Lennox (Prof. of Mathematics) aliwahi kuandika " Nonsense remains nonsense even when spoken by famous scientists"
Unfortunately; all famous scientists have had never uttered any kind of nonsense words and if at all any; then they were not speaking in the realm of science but possibly on some other field such as those related to jokes, comedy or similar.

In my entire lifetime, I have had never heard of any nonsense spoken by a famous scientist!
 
Back
Top Bottom