Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I thought the same man.Code rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
Yule alikua na uoga usio na sababuIla Jiwe alikua ana mkwara sana!
Sasa helicopter ilikua ya nini?!
Kwa sababu ndio Daktari boraMagufuli nae,ujanja mwingine huondoa maarifa hivi unaanzaje kutibiwa na Daktari wa mtangulizi wako?
Hata kama kuna vipengele vilifichwa ila binafsi ule mkakati naamini ulifanyika narudia mara kwa mara ule uzi na kwa msaada wa picha na mtiririko wa matukio naamini kabisa huenda kuna kweliKwamba ile riwaya ya dark days....ina ukweli ndani yake?
Ndio kusema afya za wakuu ni mgogoro, analindwa asitoe siri.Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Mkuu kilichoandikwa hapa ni uongo na uzushi mkubwaa sanaaMleta uzi hakueleweka na watu wengi sana na matokeo yake wengi wamepanick na kudhani ulinzi unaozungumziwa ni kama wa rais hivi au kama wa Diamond platinums wa mabodigadi kibao,jamani ulinzi uliozungumziwa ni wa kiutaratibu tu kutokana na wadhifa alionao huyu Dr,yeye ukiacha huo u prof ambao wengi mmejikita zaidi kuuhoji mkiunganisha na ulinzi yeye ni mkurugenzi wa taasisi tajwa na ile ni taasisi kubwa kwa mantiki hiyo ana kazi nyingi na nyeti huwezi kufika pale na kumuona kama unavyoweza kuwaona madaktari wengine watoa matibabu,kwa lugha nyingine huyu ni boss pale kwahyo sio mtoa huduma wa kila siku kama ma Dr wengine pale huyu ni mtawala zaidi na kumuona jambo linalokufanya umuone yeye linatakiwa lionekane kweli linamuhitaji yeye na hii ni kawaida hata wakuu mbalimbali wa taasisi kubwa huwezi kuwaona kirahisi utaulizwa kama una appointment na kama huna ni ngumu kuwaona.watu wenye kubeba mauvumi na kuyaamini hawakuelewa ulinzi unaozungumziwa matokeo yake wameona hiyo ni fursa ya kuunganisha dots za mauvumi ya hovyo waliyobeba huko vichochoroni.
May be !!!!Fununu huanza kama tetesi.. Intelijensia imeshahisi jambo
Huyu ana siri kubwa sana ya kifo cha JPM.Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Nakumbuka miaka ya 90 mwanzoni Prof Sarungi alikuwa Waziri wa Elimu na ilitokea ajali kule Kagera,kuta za darasa ziliangukia wanafunzi na kusababisha majeruhi wengi,yeye Prof Prof bila kujali wadhfa wake,alienda Bukoba kuhudumia majeruhiutakuwa mtoto mdogo we jamaa .
Professor Sarungi ndiye pofessor wa kwanza bingwa wa mifupa Tanzania nzima .
Alikuwa hategemewi na MOI tu huyo alikiwa anategemewa Tanzania nzima ilikuwa ikitokea ajali mikoani alikiwa anakwenda kusaidia kama majeruhi wengi na wameumia vibaya .
Embu jaribu kumgoogle usome story zake kuna mwaka ilitokea ajali mbaya kibaha majeruhi waliumia sana wakalazwa tumbi yeye alikuwa waziri wa ulinzi , alitoka wizarani akaenda tumbi kuongeza nguvu jopo la madaktari
Professor Sarungi alishawahi kuwa mfanyakazi bora wa Taifa ( nafional best worker)
Eti unafananisha na mpuuzi kama kigwa. ambaye hajawahi hata kupractice udaktari
,pitia autobiographyy yake hapo chini