Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Ila watanzania tunapenda kudanganywa sana yaani mtu anajiandikia tu hapa na watu wanamuamini mimi nimetoka hapo muda huu mbona huo ulinzi sijauona au upo mawinguni?
 
Janabi sio mtu mdogo ndugu. Amekuwa daktari wa Rais Kikwete kwa miaka mingi ni mtu anayeifahamu Ikulu. Lakini pia amemuhudumia JPM kwa muda mrefu kama daktari bingwa wa matatizo ya moyo. Anayajua mengi ya nchi hii kama ni ulinzi ana haki ya kulindwa ndugu.
Ndio kusema afya za wakuu ni mgogoro, analindwa asitoe siri.
 
Mleta uzi hakueleweka na watu wengi sana na matokeo yake wengi wamepanick na kudhani ulinzi unaozungumziwa ni kama wa rais hivi au kama wa Diamond platinums wa mabodigadi kibao,jamani ulinzi uliozungumziwa ni wa kiutaratibu tu kutokana na wadhifa alionao huyu Dr,yeye ukiacha huo u prof ambao wengi mmejikita zaidi kuuhoji mkiunganisha na ulinzi yeye ni mkurugenzi wa taasisi tajwa na ile ni taasisi kubwa kwa mantiki hiyo ana kazi nyingi na nyeti huwezi kufika pale na kumuona kama unavyoweza kuwaona madaktari wengine watoa matibabu,kwa lugha nyingine huyu ni boss pale kwahyo sio mtoa huduma wa kila siku kama ma Dr wengine pale huyu ni mtawala zaidi na kumuona jambo linalokufanya umuone yeye linatakiwa lionekane kweli linamuhitaji yeye na hii ni kawaida hata wakuu mbalimbali wa taasisi kubwa huwezi kuwaona kirahisi utaulizwa kama una appointment na kama huna ni ngumu kuwaona.watu wenye kubeba mauvumi na kuyaamini hawakuelewa ulinzi unaozungumziwa matokeo yake wameona hiyo ni fursa ya kuunganisha dots za mauvumi ya hovyo waliyobeba huko vichochoroni.
 
Mkuu kilichoandikwa hapa ni uongo na uzushi mkubwaa sanaa
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Huyu ana siri kubwa sana ya kifo cha JPM.

Ukizingatia na uvumi uliopo kwama JPM aliuwawa na wahuni, lazima wamuwekee ulinzi ili asitoe siri hizo.
 
naunganisha doti hapa, taasisi yake ilishushwa hadhi na jpm .............🙄🙄(pace maker),,...

PROFESA JANABI​

Aliyekuwa Daktari wa Rais Kikwete amtetea Manji kesi ya dawa za kulevya​

ByMtanzania Digital
August 30, 2017
 
utakuwa mtoto mdogo we jamaa .
Professor Sarungi ndiye pofessor wa kwanza bingwa wa mifupa Tanzania nzima .
Alikuwa hategemewi na MOI tu huyo alikiwa anategemewa Tanzania nzima ilikuwa ikitokea ajali mikoani alikiwa anakwenda kusaidia kama majeruhi wengi na wameumia vibaya .
Embu jaribu kumgoogle usome story zake kuna mwaka ilitokea ajali mbaya kibaha majeruhi waliumia sana wakalazwa tumbi yeye alikuwa waziri wa ulinzi , alitoka wizarani akaenda tumbi kuongeza nguvu jopo la madaktari
Professor Sarungi alishawahi kuwa mfanyakazi bora wa Taifa ( nafional best worker)
Eti unafananisha na mpuuzi kama kigwa. ambaye hajawahi hata kupractice udaktari

,pitia autobiographyy yake hapo chini

Nakumbuka miaka ya 90 mwanzoni Prof Sarungi alikuwa Waziri wa Elimu na ilitokea ajali kule Kagera,kuta za darasa ziliangukia wanafunzi na kusababisha majeruhi wengi,yeye Prof Prof bila kujali wadhfa wake,alienda Bukoba kuhudumia majeruhi
 
lenyewe nalo ni ligonjwa kwa kuliangalia....waliolitumia wameliongezea ulinzi wakihofia uovu wao kusambaa....muda si mrefu watamuua naye,
 
Ikumbukwe kuwa professor janabi pia ni dkt wake la mbebezi super branda lemutuz

So Ana kuwa na Kaz nyingi San kutoka kuwa dkt wa Jk na jpm na sas lemuztuz ameporomoka snaa
 
Anae uwezo wa kusimamisha vita vya Ukraine na rusia

Ndo naskia hapa kijiweni sa hivi
 
Back
Top Bottom