Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Daktari Profesa Janabi ana hofu na nini hadi awe na ulinzi mkubwa namna ile?

inamankusweke
Acha ujinga wako!!kwani yeye ndiye daktari pekee aliyewahi kuwatibu marais?kuna madaktari wangapi walikuwa wanawatibu marais na bado hawajawahi kuwa na ulinzi mkubwa?!!ndio maana mdau amekutana nalo na kuja kuuliza, ili kujua kuna kitu gani cha utofauti zaidi, wewe hata hujui kitu unakuja tu, eti daktari anatibu marais ndio awe na ulinzi huo?!!
Mjinga ni aliyetoa taarifa chonganishi bila kuweka ushahidi,na yule aliyemuamini ni mjinga zaidi...lakini Kama ni kweli,kwa nini asipewe ulinzi ikiwa Kuna kikundu kinaamini haya ambayo mtoa mada kayasema!!?...
 
Huu ni uongo.kwamba akifa basi Leo pale JKIC na kazi zimekufa?
Replacement YAKE siyo ya kitoto mkuu!,/ mitihani yao wanafanyaga 100 wanaofaulu kwa usahihi wa 100% ni wawili tu, wengine hurudia HATA Mara 20 ili ulkuachieve ustadi.
 
""NOTA BENE::/""
THREAD HII NI YA KIHISIA TU NA ISIPEWE UMAKINI WA AINA YOYOTE HIZI NI HISIA TU BAADA YA WATU KUSHIBA UGALI WA DONA KWA MAHARAGWE IGNORE THIS NONSENSIBLE BLISS.
 
Usituaminishe utahaahira wako .......hata wewe ni MTU muhimu mno na kutengeneza MTU kama wewe ni gharama Sana japo ni tahahira...........wewe endelea na puchu zako ukadhani kuna kitu utagundua ......zaidi ya kujiona huna thamani
Kuna wenye vipawa zaidi kiustadi kwa maarifa nyeti elewa hapo kwanza
 
kwamba? mbona moyo umenishtuka ghafla R.i.p. JPM mleta uzi ebu elezea ulinzi upi wa mabaka au upi? ni daktari pekee bingwa wa moyo Tz? basi sio vibaya akalindwa.
 
Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.

Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.

Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Wacha alindwe unataka wale kichwa kama Ngowi
 
Back
Top Bottom