Askari poriAnalindwa na aina gani ya ulinzi, sungusungu au askari wa aina ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askari poriAnalindwa na aina gani ya ulinzi, sungusungu au askari wa aina ipi?
Mjinga ni aliyetoa taarifa chonganishi bila kuweka ushahidi,na yule aliyemuamini ni mjinga zaidi...lakini Kama ni kweli,kwa nini asipewe ulinzi ikiwa Kuna kikundu kinaamini haya ambayo mtoa mada kayasema!!?...inamankusweke
Acha ujinga wako!!kwani yeye ndiye daktari pekee aliyewahi kuwatibu marais?kuna madaktari wangapi walikuwa wanawatibu marais na bado hawajawahi kuwa na ulinzi mkubwa?!!ndio maana mdau amekutana nalo na kuja kuuliza, ili kujua kuna kitu gani cha utofauti zaidi, wewe hata hujui kitu unakuja tu, eti daktari anatibu marais ndio awe na ulinzi huo?!!
Kama bi hivyo kweli anafaa kuongezewa ulinzi mkali, ameifanyia Tanzania a great serviceCode rahisi
Meko -betri- mawinguni
Jki -msoga
Hence proven
Fanya utafiti kidogo juu ya aliandikaloSarungi amevuma zaidi kwenye mambo ya timu yake ya Simba na kwenye siasa kuliko utabibu.
Mkuu superbag, lishe nzi Lazima uniue timiza ahad yako ya kuwaibia TV chogo mwaka 1988.Prof shaba ndio yule alihusika kwenye post mortem ya moringe sokoine?
Replacement YAKE siyo ya kitoto mkuu!,/ mitihani yao wanafanyaga 100 wanaofaulu kwa usahihi wa 100% ni wawili tu, wengine hurudia HATA Mara 20 ili ulkuachieve ustadi.Huu ni uongo.kwamba akifa basi Leo pale JKIC na kazi zimekufa?
Utaelewaje wakati wewe ni popoma la kikeDuh hata sielewi kinachoendelea humu
Ila Jiwe alikua ana mkwara sana!
Sasa helicopter ilikua ya nini?!
Kuna wenye vipawa zaidi kiustadi kwa maarifa nyeti elewa hapo kwanzaUsituaminishe utahaahira wako .......hata wewe ni MTU muhimu mno na kutengeneza MTU kama wewe ni gharama Sana japo ni tahahira...........wewe endelea na puchu zako ukadhani kuna kitu utagundua ......zaidi ya kujiona huna thamani
Jamiiforum kila mtu ana gari.Bongo kila mtu mjuzi..
Sukuma gang hawana ubavu huoNdie mchomoa betri lazima ahakikishiwe ulinzi,malipo hapa hapa duniani,watu wanamlia timing na yeye.
Jamiiforum kila mtu ana gari.
Utaelewaje wakati wewe ni popoma la kike
Kila mtu jf ni handsomeKila mtu amesoma na ana kazi nzuri[emoji19][emoji19]
Wacha alindwe unataka wale kichwa kama NgowiNimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao.
Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) kwa siku hizi lazima uchunguzwe kwanza na kwa masharti lukuki na kama hutokidhi matakwa nakuhakikishia utamsikia Janabi radioni.
Iweje leo na kwa siku za hivi karibuni mtu asiye kiongozi kulindwa namna ile?!?
Sio Masauni. Ni Dr. Ferdinand MasauDaaaaah,it reminds me of Dr.Masauni