TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

mkuu

umeme hauko msoma TU ,usikute aliamua kuwa field na maeneo mengine
Asijekuwa anatishia vibarua vya watu. Teknolojia za asili zikafanya kazi.

Kwa level yake, ni marufuku utembea kwa barabara safar ndefu muda unaozidi saa 2 usiku.

Anatakiwa saa 1 tu awe amepumzika ama anafanya inhouse duties.

Huu ni uzembe sana kwa kiongozi wa level yake kutembea muda huo.

Funzo kwa viongozi wote kujitambua, hatuwezi kuwa tunapoteza watu muhimu kirahisi namna hii.

Hawa wateule wa rais wote, wapewe maelekezo no marufuku kutembea zaidi ya saa 1 usiku. Labda kwa kibali cha rais tu.
 
Wanaelewa basi mkuu hawajui viti walivyokalia ni vyamoto na wako hunted vilingeni lakini hawaajali
 
Impact hii inayoweza kuharibu magari makubwa hayo kwa kiwango hicho ni kuonyesha kuwa magari yalikuwa spidi kubwa sana. Impact energy ilikuwa ni karibu sawa na kuliangusha gari hilo kutoka kilomita moja angani, yaani lilikuwa linakwenda karibu km 150 kwa saa. Sasa ukifikiria kuwa ilikuwa ni saa nane usiku ndipo ujue mapungufu ya madereva wetu katika kufanya maamuzi.

Pole kwa ndugu wa marehemu, na tumwombe Mola aziweke pema peponi roho za marehemu, lakini liwe pia ni funzo kwa wanaondesha magari kuwa makini wawapo barabarani.
 
Leaders scale kwa wale mabosi wa serikali ni around 200k/day. Yet inategemea yuko mjini, jijini au manispaa but haivuki 250k kama nakumbuka vizuri. Sijui hawa wa taasisi za umma but sidhani kama kuna tofauti sana.
Basi Taasisi za umma ambayo naijua mimi ,meneja anakula per diem ya 400k ,yaani najua kabisa na dokezo nimeona ...Tanesco kuna pesa ndefu na huyo ni mkurugenzi mtendaji.

Hiyo gari ni kama yake wakati akiwa kwenye cheo hicho ..
 
Hakuna kitu hicho mimi napiga long trips tena usiku, peke yangu.
Hakikisha umepunzika kabla ya safari.
Hakuna uchawi hapo.
Speed kills ! Ndio uchawi wenyewe !
Mimi nimeshaendesha sana usiku lakini kwa uangalifu mkubwa na bila kuwa na haraka na sijawahi kupata ajali namshukuru Mungu mpaka sasa siendeshi tena πŸ™πŸ™ !

Ila negative Energy zipo lakini sio kila mtu zinaweza zikamdhuru !
 
Hawawezi kuwa waangalifu kwa sababu madereva wengi wameaminishwa kwamba ajali hupangwa na Mungu !
 
Mkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
WanasAfiri kwa gari ili waweze kukagua maendeleo ya projects mbalimbali katikatikatikati humo mikoani chocho kwa chocho , kwa ndege huwez fanya hivyo labda utumie helicopter
 
Tatizo kubwa sio Usiku bali spidi ndio shida kubwa !
Dereva anapo pishana na gari jingine usiku huwa haoni vizuri huko mbele aendako kama kuko clear asilimia 100 kutokana na mwanga wa taa za gari analopishana nalo lakini utaona amekanyaga mafuta mpaka mwisho hiyo ni Hatari kubwa ana risk katika zile sekunde chache za kupishana anything can happen there !
 
Na ni kwanini hizi gari za Serikali zisifungwe speed governor ili ziwe mfano kwa wengine ??!
Madereva wa Kibongo hata Helmet β›‘ huwa wanazivaa kwa ajili ya Trafiki wa barabarani sio kwa ajili ya usalama wa kichwa chake dereva wa pikipiki !

Madereva wa magari huwa wanaogopa tochi za Trafiki barabarani sio kuhofia usalama wao na watu wengine !

Kwahiyo Usiku huwa ni mwendo mdundo mpaka kuzimu no problem πŸ˜‰
Hakuna tochi 😳 !
 
This is a must, ni hatari
ccm na viongozi wao wanachukulia poa sana kwa matamko ya reja reja.
Hapo rambi rambi zitatolewa na SSH kuandika kwenye pages zake za social media.
Yaani itaishia hivyo!
NO! Tufanye Reforms Muhimu! Ikiwemo pia kuwekeza kwenye tafiti!
Matukio ya Ajali za barabarani yanazidi!
 
Najua umetoa mawazo kwa uzoefu wako. Sasa nashauri tafiti zifanyike nchi nzima kuhusu Ajali za barabarani. Majibu yako pamoja na mengine yaje na mapendekezo ya nini kifanyike wapi, na nani, wakati gani, kivipi na kwa nini!
Hali si nzuri!
 
Mkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Ndege haikutofautishi na abiria wengine wa kawaida, V8 ukikata kisambusa mbele unajulikana weye ni presidential appointee. Hayo maV8 yangekuwa yanafika mashariki ya mbali Kuna watu wangeenda nayoπŸ˜€
 
Najua umetoa mawazo kwa uzoefu wako. Sasa nashauri tafiti zifanyike nchi nzima kuhusu Ajali za barabarani. Majibu yako pamoja na mengine yaje na mapendekezo ya nini kifanyike wapi, na nani, wakati gani, kivipi na kwa nini!
Hali si nzuri!
Madereva wa serikali ni wazembe sn wanaenda kwa fujo hilo halina ubishi kisa hawapigwi tochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…