TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Ndege haikutofautishi na abiria wengine wa kawaida, V8 ukikata kisambusa mbele unajulikana weye ni presidential appointee. Hayo maV8 yangekuwa yanafika mashariki ya mbali Kuna watu wangeenda nayo😀
Siyo mashariki ya mbali pekee yangekuwa yanaweza hata kufika chooni wangeingia nayo kabisa
 
Kwanini tunalazimisha kutumia lugha ambazo zinatupiga chenga?
Sasa atajifunzaje hiyo lugha inayombiga chenga bila maxoezi! Tunaambiwa ili ujue lugha lazima uifanyie mazoezi. Sasa mtu akikosea we inakukera nini!? Na inaweza kuwa haujakereka ila umeendika hivyo ili kuonyesha kwamba wewe unajua hiyo lugha kuliko aliyeandika, ndio ulimbukeni walionao baadhi ya wabongo waliofaulu somo la kiingereza katika mitihani ya NECTA. yaani wako tayari kuacha kujadili mada wakajikita kwenye kiingereza ambacho Wala siyo mada inayohusika.
 
Walikuwa wanakaribia Serengeti

Ajali imetokea kwenye hifadhi ya Serengeti ,saa nane kasoro mtu anakatiza na baiskeli kwenye hifadhi 😳😳😳😳?? Ngumu kumesa!! Mwenye makosa ni dereva wa gari ndogo lakini cha ajabu aliyekimbia ni dereva wa gari kubwa.(Dereva amekimbia ndani ya hifadhi yenye wanyama wakali??? 😳 😳 😳 )
 
Mkuu umenena kisawasawa.
Miaka yahivi karibuni mawaziri wamejigeuza kuwa watendaji, na hili ni tatizo kubwa.
Watendaji viongozi wataendelea kufa kwa kuitwa ghafla sehemu yoyote nchini mradi waziri fulani yuko huko.
Mawaziri wanawaua watendaji.
ifike sehemu mawaziri na wakuu wajiendeshe wenyewe, madereva wengine washenzi utakuta anaanza safari na majanaba ndo njia nzima mikosi
 
Ajali imetokea kwenye hifadhi ya Serengeti ,saa nane kasoro mtu anakatiza na baiskeli kwenye hifadhi 😳😳😳😳?? Ngumu kumesa!! Mwenye makosa ni dereva wa gari ndogo lakini cha ajabu aliyekimbia ni dereva wa gari kubwa.
kuna wakwaya hapo wachawi noma simba wanafukuza na fimbo ka mbwa, tembo anapishana nae bila noma,
 
Kuna jamba Serikali hua hailichukulii kwa makini but ni sababu kubwa sana ya vifo hasa ajali za magari ya serikali.Kwa upande wangu ni upeo wa elimu wa madereva-hawa,madereva wengi Serikalini nimekaa nao upeo na uelewa wao ni ndogo sana tena sana.

Serikali ibadili mifumo,hii ya kuwa dereva form 4 ni hatari sana-dereva angalau afike chuo kikuuu.thinking capacity ya mtu waliye maliza chuo kikuu haiwezi ikawa sawa na mtu wa form 4 hata kama wa chuo kikuu ni mbumbumbu.
 
Sasa atajifunzaje hiyo lugha inayombiga chenga bila maxoezi! Tunaambiwa ili ujue lugha lazima uifanyie mazoezi. Sasa mtu akikosea we inakukera nini!? Na inaweza kuwa haujakereka ila umeendika hivyo ili kuonyesha kwamba wewe unajua hiyo lugha kuliko aliyeandika, ndio ulimbukeni walionao baadhi ya wabongo waliofaulu somo la kiingereza katika mitihani ya NECTA. yaani wako tayari kuacha kujadili mada wakajikita kwenye kiingereza ambacho Wala siyo mada inayohusika.
Mimi sijafaulu hilo somo. Lakini hiyo lugha naijua vizuri. Pia kumbuka hapa jf siyo sehemu ya kufanyia mazoezi ya lugha. Anyway kuna mdau ameshaniambia niachane na maswala ya lugha bali nijikite kwenye hoja ya mtu. Asante pia kwa comment yako.
 
Ulikuwepo
nimeandika nikiwa mmojawapo wa madereva wa vigogo hapa nchini,tena huyo nyamohanga ni cheo cha chini mno kwa kigogo ninaemuendesha mimi,so najua ugumu wa kazi ya udereva na nini kinachofuata usipotii amri ya kigogo. Yaani mkuu amekwambia saa mbili anatakiwa awe ofsi flani wewe ujifanye unatii amri na sheria za usalama barabarani, hapo ajira huna na utatafutiwa kesi ukanyee debe na dhamana hakuna.

Ni mpumbavu pekee anayesema dereva alikuwa anamakosa
 
RPC ndiyo aliyesema dereva wa kigogo ndiyo alikuwa na makosa kwa kumkwepa mwenye baiskeli ,je angemgonga?
 
Back
Top Bottom