Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,128
- 2,914
Mchina alipewa tenda kinyemela June 2023 na wale akina naniii, Gissima aliteuliwa September 2023. Gari la mchina ni maokoto tu,wale vijana 2 wa mjini ndio walibeba mzigo wa maana
Kama Nyamuhanga kaingia TANESCO baada ya zabuni ya Mchina, kwa nini amepewa gari na Mchina ?
Huoni obvious and stinking conflict of interest ?
Unasimamiaje kazi ya mkandarasi kama unatumia mali zake binafsi ?
Tunajiuza kwa vihongo vya kujidhalilisha. Kadi ya gari hajapewa.
Hata kimada wa nyumba ndogo hakubali umhonge gari halafu humpi kadi kwa jina lake. Huyo ni ten dollar hoe. Unampitia huku umevaa shati na kinga halafu unamtema barabarani....
Mkurugenzi wa TANESCO, largest public company in the eastern seaboard of Africa, unafanywaje a 10 dollar hoe ?????