TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Hii dunia bana,huwezi amini kumbe huyo dreva nlikuwa namjuwa aisee nishakaa naye sana hapo hawai bar kipindi cha nyuma napiga masanga,na wote hao ni wakazi wa kimara baruti
Unajuwa huyo dreva alistaafu sema boss huyo Ali renew mkataba wake tena ,ni kama walikuwa wana sanaa unaweza kusema
So sad jamaa mkurugenzi alikuwa humble sana

Ova
Duuuh kweli 61 ni mstaafu....Poleni sana.
 
Mkuu umenena kisawasawa.
Miaka yahivi karibuni mawaziri wamejigeuza kuwa watendaji, na hili ni tatizo kubwa.
Watendaji viongozi wataendelea kufa kwa kuitwa ghafla sehemu yoyote nchini mradi waziri fulani yuko huko.
Mawaziri wanawaua watendaji.
Hii ilianza enzi za JPM na msururu wa watendaji hadi afisa wa kawaida sana.Aliepokea kijiti naye kaongeza idadi, pia mawaziri rc,dc wanataka msururu. Kazi ipo🥹
 
Kuna jamba Serikali hua hailichukulii kwa makini but ni sababu kubwa sana ya vifo hasa ajali za magari ya serikali.Kwa upande wangu ni upeo wa elimu wa madereva-hawa,madereva wengi Serikalini nimekaa nao upeo na uelewa wao ni ndogo sana tena sana.

Serikali ibadili mifumo,hii ya kuwa dereva form 4 ni hatari sana-dereva angalau afike chuo kikuuu.thinking capacity ya mtu waliye maliza chuo kikuu haiwezi ikawa sawa na mtu wa form 4 hata kama wa chuo kikuu ni mbumbumbu.
Nadhani thinking capacity yako ina tatizo wala sio madereva. Hio ajali nature yake ni nini!? Je, ni head on head collision au mechanical failure?

Badilisheni mifumo ya barabara ajali nyingi zinaepukika ifikie muda tuache kujificha kwenye swala la speed ya gari sijui na kusingizia uzembe wa madereva. Gari imekuwa designed kutembea kwa speed ya 180kph wewe kwa ujinga wako unalazimisha watu watembee 50kph wakizidi unawapiga na fines. Wakiamua kukwepa usumbufu wa fine watatembea usiku kwenye giza na uono hafifu mwisho ndio kugongana uso kwa uso.
 
Una point, lets think outside the box.
 
nimeandika nikiwa mmojawapo wa madereva wa vigogo hapa nchini,tena huyo nyamohanga ni cheo cha chini mno kwa kigogo ninaemuendesha mimi,so najua ugumu wa kazi ya udereva na nini kinachofuata usipotii amri ya kigogo. Yaani mkuu amekwambia saa mbili anatakiwa awe ofsi flani wewe ujifanye unatii amri na sheria za usalama barabarani, hapo ajira huna na utatafutiwa kesi ukanyee debe na dhamana hakuna.

Ni mpumbavu pekee anayesema dereva alikuwa anamakosa
Kigogo anayesema hivyo atakuwa sio kigogo, Bali uwezo wake wa kufikiri ni mdogo
 
alikuwa anafanya nini usiku wa manane ktk hifadhi, nataka shuhuda
Usiku wa manane dereva anaendesha. Ameanza saa ngapi ?

Tena weekend. Dereva hana mapumziko.

Not to mention unatumia gari la Mchina, CEO wa TANESCO, gari la Mchina aliyepewa tenda kinyemela baada ya kukosa viwango. Nani atasimamia kazi ya huyu Mchina asiye na viwango kama mtoa tenda anatumia mali zake. Rushwa ya wazi wazi.

Baada ya kuingia mkataba wa kununua umeme Ethiopia. Ghafla, kwa siri, na bila mantiki. Mkataba wa kihuni. Tuliambiwaga sisi ndo tungeuza nje.

Alikuwa Mkurugenzi mbovu.
 
Mchina alipewa tenda kinyemela June 2023 na wale akina naniii, Gissima aliteuliwa September 2023. Gari la mchina ni maokoto tu,wale vijana 2 wa mjini ndio walibeba mzigo wa maana
 
Mkurugenzi wa Tanesco anasafiri umbali wote kutoka dar mpaka Msoma kwa gari kwani ndege hazikuwepo?
Try to think big! This was not an official trip!
Hii ilikuwa ni private trip kwenda kijijini kwa mambo binafsi. Kama angeenda na ndege huko kijijini angefikaje na mixunguko yote ya kuwasalimia Babu na Bibi au kutembelea makaburi ya wahenga ili kuomba mizimu!
Who knows?
 
Usiku wa manane dereva anaendesha. Ameanza saa ngapi ?

Tena weekend. Dereva hana mapumziko.

Not to mention unatumia gari la Mchina, CEO wa TANESCO, gari la Mchina aliyepewa tenda kinyemela baada ya kukosa viwango. Nani atasimamia kazi ya huyu Mchina asiye na viwango kama mtoa tenda anatumia mali zake. Rushwa ya wazi wazi.

Baada ya kuingia mkataba wa kununua umeme Ethiopia. Ghafla, kwa siri, na bila mantiki. Mkataba wa kihuni. Tuliambiwaga sisi ndo tungeuza nje.

Alikuwa Mkurugenzi mbovu.
Umeongea maneno ya msingi sana. Hapa tu lazima kuna mambo ya giza giza!! Hii ajali inafikirisha sana!
Ukweli ni kuwa hii ndo picha halisi ya maisha ya vigogo wengi wa Serikali:
1. Wengi wao wanapata hizo nyaxifa kwa rushwa, uchawi na uganga. Maanake wanaroga sana.
2. Wengi wanatumiwa na Mamlaka za Uteuzi kama chambo au kafara kufanikisha mambo yao.
3. Wengi wanawekwa kwenye hizo nafasi kwa makubaliano ya kulipa fadhila kwa mamilioni ya pesa kutegemea na nafasi aliyopewa.
4. Wanauana au ⁷kutoana kafara kwa kugombea hizo nafasi
5. Kugombania nafasi na kutotaka kuzipoteza nafasi hxo walizo zipata.
6. Kutaka au kutangaza nia ya kugombea Ubunge kwene jambo lenye wenye kutangaza nia kuna gharama km hzo.
7. n.k.
 
Matokeo ya manung'uniko ya watanzania kuhusu gharama kubwa ya umeme wakati mradi mkubwa wa umeme wa JNHEPP umekamilika ambao ungepunguza gharama ya kununua umeme.mfano ilitakiwa umeme wa elftano tupate uniti miamoja kama ilivyo Burundi na Djibouti
Duu kumbe
 
Kwa sehemu unaweza kuwa uko sahihi labda kwa 20 pc. Hv Mkurugenzi TANESCO ndo anaweza kupanga bei ya Umeme? Kwann asiwe mama Samia au EWURA wanao panga bei za Shell, Umeme na Maji?
Huyu kapata ajali kwa malipo mengine tu aidha ya Ufisadi, Cheo, ubunge au Uganga/Uchawi.

Hii nji imejaa wasomi wengi waliojaa imani za kishirikina na ushetani mtupu!!!
 
Back
Top Bottom