TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Wamekutana na Kicheche cha kufuga hicho... Sio pori... Na walikuwa speed ya buku...

Kwani dereva wa Boss si huwa anajulikana tu... Mbona imekuwa ngumu kumtambua hapa... Au ilikuwa sio safari ya kikazi.!?
 
Haya Mavieite hayatufai wajameni !
Mtu akiwa humo ndani anajihisi kama vile yupo Angani !
Matokea yake hamad Uso kwa Uso !
Yatamaliza watu !
LandCruiser hardtops ndio muarobaini 🙏
 
Ajali haina kinga (Lame African way)

Lakini ni risk zaidi kusafiri usiku tukizingatia miundombinu ya barabara zetu.

Kwa wafanya kazi mahali fulani fulani mtuambie ni kwanini moja ya policy ya safari mwisho wa kusafiri kwa barabara ni saa kumi na mbili jioni? Jioni muwe mmeshareach destination fulani ambako mtapata malazi…

RIP mkurugenzi.
 
Ajali ilikua mbaya sana. Apumzike kwa amani ya bwana.
 
Nchi inatakiwa iwe na reli, safari ndefu kama hizo watu wasafiri kwa treni, ila bado ni jambo la ajabu kwa CEO wa TANESCO kusafiri umbali mrefu hivyo kwa gari.
 
According na takwimu zilizopoa, ubovu wa miundo mbinu unachangai cchini ya 2% za ajali TZ na zaidi ya 95% ni makosa ya binadamu ikiwemo spidi kubwa
Takwimu za uongo hizo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…