TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia

Nchi yao sheria hazi wahusu. Kama wana haraka wapande ndege. Lasivyo israel mtoa roho atawawahisha tu
 
Daresalama pekee imeshindikana kuweka hizo dabo rodi barabara zote iwezekane vipi Nchi Nzima ?!
 
Duh..masikini R.I.E.P..
Aisee nimesikitika sana...Nilimkubali sana.
Mwenyezi Mungu naomba Mpumzishe kwa amani.
Ila ninyi madereva wa serikali mna usenge sana ...mnamaliza viongozi jamani!
Washenzi sana...hivi kuajiriwa serikalini ndio kuwa juu ya sheria..you are so Stupid.
 
Kinachotokea hapo ni kuvunja protocal...Siku moja tulikuwa wanne tu , tunataka Dar kuelekea Mwanza ...kwanza tulipanga safari tutoke 12 kamili asubuhi ila tuliondoka 3 kasoro Asubuhi ,watu wanajivuta na dereva alifika mapema.

Tulikanyaga sana mpaka mdada mmoja alitapika njiani ,tulipfika Dodoma meneja alituacha kwenye Hotel akaondoka bila ya sababu ya msingi ...Mpaka anarudi katumia masaa mawili...Tulikanyaga tukaenda kulala Tabora saa 5 usiku tunafika hapo.
 
The colour is really God have mercy on us
 
Umenikumbusha mambo ya vowels advance,ukiona mtu anatumia an kabla ya vowels ujue hajakutana na kiingereza mtaani ila kakutana nacho darasani hahah
Kama hujui kingereza lazima nikufundishe kwa kuweka an , sasa kingereza chenyewe hujui alafu nikurekebishe kwa kingereza cha mtaani utaelewa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…