KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Aisee imekuwaje wamemwaga mbogaMradi wa Ujenzi wa New Water System ni tofauti kabisa na Construction of water blending system for FLOURIDE reduction
Kwa akili ya kawaida utampatiaje Mkandarasi wa New water System Kandarasi ya kujenga Construction of water blending system for FLOURIDE reduction kuwa ni Extension of Work?
Ongea nao vizuri uingie kwny huo mchongoNi Ujinga kufikiri Upigaji ni ushujaa, Ni Ujinga kufikiri tunaotoa taarifa za Upigaji ni majungu, Kamwe amtatukatisha tamaa katika vita dhidi ya Ufisadi..
Pascal kuna kitu hujaelewa hapo, huyu bwana analeta hoja ambazo zipo kinyume na uhalisia, kwanza hajui contract kabisa na haelewi contract anayoizungumzia inatawaliwa na sheria gani yeye anafikiri ni PPRA which is wrong. Contract anayozungumzia inatawaliwa na FIDIC contract ambayo inaruhusu alichokifanya mkurugenzi mhusika. Ambaye yeye anachuki kubwa sana dhidi yake. Nimejaribu kumwelewesha haelewi. Wala msiilaumu serikali kwa mambo ya kipuuzi ambayo hata wao wanalijua.Mkuu Moshi town, thanks for this, it's a good whistle blowing article. Huu ndio uzalendo wa kweli kwa nchi yako!.
P
Rudi darasani, kutokujua contract sii shambi, dhambi ni kuingia kwenye anga usizozijua pole sana.Tender ya Ujenzi wa ofisi za Kanda AUWSA ya Tzs 5 bilion ilitangazwa kwanini Tender ya 36 bilion aikutangazwa?
Zabuni ya Kujenga Vyoo vya kisasa vya Tzs 1.5 ilitangazwa kwanini tender ya TZs 36 bilion aikutangazwa?
Tatizo mnajidanganya mnajua mikataba…kumbe amjuhi.Rudi darasani, kutokujua contract sii shambi, dhambi ni kuingia kwenye anga usizozijua pole sana.
Nipatie Namba ya DG PCCB ,its too Much ,kamati imeundwa kuchunguza Mkataba wa ufisadi badala ya kupitia huo mkataba na kuangalia Namna ya kuokoa Fedha za Serikali wao wapo bussy kuwatisha watumishi kuwa wametumwa na waziri Aweso na katibu mkuu kuchunguza anayetoa taarifa kwa Moshi town huu ni upumbavu wa kiwango cha hali ya Juhu.Mkuu MOSHI TOWN una uchungu haswa, ukihitaji namba ya DG TAKUKURU Salum Hamduni nitakupa
Asante nimepokea… Be blessedNimekutext Namba PM,kazi kwako
Inaonyesha huyu Rujomba ni tajiri mno kwa sasa, kama hizi tuhuma dhidi yake zina ukweli.Ni Upuuzi waziri Aweso kutumia Fedha za Uma kufanya Uchunguzi wa Funika kombe mwanaharamu apite. Anachofanya Aweso ni matumizi mabaya ya Fedha za Umma.. Dr. Nditi ameenda Arusha mara ngapi kufanya Uchunguzi? Ni zaidi ya mara tano report zake ni za kutetea ufisadi tuu..Hakuna anachofanya yeye kikao kikiisha anakutana na HPMU wa AUWSA Ndg Kondela na ENg Rujomba kuwapatia taarifa ya waliwaongelea vibaya kwenye mahojiano ni aibu mwanaume kuwa mbeya kama Nditi. . Dr. Nditi ni snitch anaangalia tumbo lake , anasubiri siku ya Kufanya Exit anapewa baasha anasepa , Ni
Aibu Daktari Mzima kupokea Baaasha … Shame on you Dr. Nditi na team yako.
Mkitaka AUWSA itulie muondoeni Rujomba ni Fisadi. Leteni Mkurugenzi muadilifu ambaye siyo Fisadi
Eng Rujomba Amepiga Pesa mradi wa A to Z wa Tzs 2.5 bilioni ,Alimpatia kandarasi ya Ujenzi kampuni ya Tumaini Engineering baada kuleta taarifa humu mkataba wa Tzs 2.5 bilion
Umevunjwa na hakuna hatua iliyochukulowa dhidi ya kampuni ya Tumaini Engineering na Rujomba wapo
Mtaani wanatamba TAKUKuRu Arusha wapo wanachekelea tuu
Rujomba Mwaka wa Fedha aliongeza Fedha za kununua Uniform za Watumishi kutoka Tzs 25,000 hadi 54,000 hakuna hatua iliyochukuliwa dhidi yake
Kampuni ya sinohdro anatakiwa kuilipa AUWSA kila Siku Tzs 8 Milion sawa na Tzs 240,000,000.00 kwa mwezi kwa kuchelewa kumaliza kazi baada ya mkataba wake kuisha Tarehe 7 Julai 2022 toka Tarehe hii Pesa zinaingia account binafsi ya Eng Rujomba.
Rujomba ameongeza Gharama za Construction of water blending system for FLOURIDE reduction kutoka Tzs 20 Bilion Gharama ya awali hadi Tzs 36 bilion
Rujomba amesaini Mkataba Wa Tzs 36 bilion Wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction na kampuni ya Sibohydro bila zabuni kutangaza , bila No Objection kutoka AFDB , Bila Management ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Bodi ya wakurugenzi ya AUWSA kuwa na Taarifa,
Bila Tender Board ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Manager Mradi wa AUWSA kuwa na Taarifa… kwa Kifupi mkataba wa kifisadi wa Tzs 36 Bilion umesainiwa chumbani kati ya watu wawili Eng Rujomba na Mchina .