Ni Upuuzi waziri Aweso kutumia Fedha za Uma kufanya Uchunguzi wa Funika kombe mwanaharamu apite. Anachofanya Aweso ni matumizi mabaya ya Fedha za Umma.. Dr. Nditi ameenda Arusha mara ngapi kufanya Uchunguzi? Ni zaidi ya mara tano report zake ni za kutetea ufisadi tuu..Hakuna anachofanya yeye kikao kikiisha anakutana na HPMU wa AUWSA Ndg Kondela na ENg Rujomba kuwapatia taarifa ya waliwaongelea vibaya kwenye mahojiano ni aibu mwanaume kuwa mbeya kama Nditi. . Dr. Nditi ni snitch anaangalia tumbo lake , anasubiri siku ya Kufanya Exit anapewa baasha anasepa , Ni
Aibu Daktari Mzima kupokea Baaasha … Shame on you Dr. Nditi na team yako.
Mkitaka AUWSA itulie muondoeni Rujomba ni Fisadi. Leteni Mkurugenzi muadilifu ambaye siyo Fisadi
Eng Rujomba Amepiga Pesa mradi wa A to Z wa Tzs 2.5 bilioni ,Alimpatia kandarasi ya Ujenzi kampuni ya Tumaini Engineering baada kuleta taarifa humu mkataba wa Tzs 2.5 bilion
Umevunjwa na hakuna hatua iliyochukulowa dhidi ya kampuni ya Tumaini Engineering na Rujomba wapo
Mtaani wanatamba TAKUKuRu Arusha wapo wanachekelea tuu
Rujomba Mwaka wa Fedha aliongeza Fedha za kununua Uniform za Watumishi kutoka Tzs 25,000 hadi 54,000 hakuna hatua iliyochukuliwa dhidi yake
Kampuni ya sinohdro anatakiwa kuilipa AUWSA kila Siku Tzs 8 Milion sawa na Tzs 240,000,000.00 kwa mwezi kwa kuchelewa kumaliza kazi baada ya mkataba wake kuisha Tarehe 7 Julai 2022 toka Tarehe hii Pesa zinaingia account binafsi ya Eng Rujomba.
Rujomba ameongeza Gharama za Construction of water blending system for FLOURIDE reduction kutoka Tzs 20 Bilion Gharama ya awali hadi Tzs 36 bilion
Rujomba amesaini Mkataba Wa Tzs 36 bilion Wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction na kampuni ya Sibohydro bila zabuni kutangaza , bila No Objection kutoka AFDB , Bila Management ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Bodi ya wakurugenzi ya AUWSA kuwa na Taarifa,
Bila Tender Board ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Manager Mradi wa AUWSA kuwa na Taarifa… kwa Kifupi mkataba wa kifisadi wa Tzs 36 Bilion umesainiwa chumbani kati ya watu wawili Eng Rujomba na Mchina .