DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mradi wa Ujenzi wa New Water System ni tofauti kabisa na Construction of water blending system for FLOURIDE reduction

Kwa akili ya kawaida utampatiaje Mkandarasi wa New water System Kandarasi ya kujenga Construction of water blending system for FLOURIDE reduction kuwa ni Extension of Work?
Aisee imekuwaje wamemwaga mboga
Naona unamwaga ugali huku
 
Mkuu Moshi town, thanks for this, it's a good whistle blowing article. Huu ndio uzalendo wa kweli kwa nchi yako!.
P
Pascal kuna kitu hujaelewa hapo, huyu bwana analeta hoja ambazo zipo kinyume na uhalisia, kwanza hajui contract kabisa na haelewi contract anayoizungumzia inatawaliwa na sheria gani yeye anafikiri ni PPRA which is wrong. Contract anayozungumzia inatawaliwa na FIDIC contract ambayo inaruhusu alichokifanya mkurugenzi mhusika. Ambaye yeye anachuki kubwa sana dhidi yake. Nimejaribu kumwelewesha haelewi. Wala msiilaumu serikali kwa mambo ya kipuuzi ambayo hata wao wanalijua.
 
Tender ya Ujenzi wa ofisi za Kanda AUWSA ya Tzs 5 bilion ilitangazwa kwanini Tender ya 36 bilion aikutangazwa?

Zabuni ya Kujenga Vyoo vya kisasa vya Tzs 1.5 ilitangazwa kwanini tender ya TZs 36 bilion aikutangazwa?
Rudi darasani, kutokujua contract sii shambi, dhambi ni kuingia kwenye anga usizozijua pole sana.
 
Rudi darasani, kutokujua contract sii shambi, dhambi ni kuingia kwenye anga usizozijua pole sana.
Tatizo mnajidanganya mnajua mikataba…kumbe amjuhi.

Sawa …wakaguzi wameshaingia AUWSA wapatieni Barua ya No Objection kutoka AFDB ..?
 
Usanii umezidi ,wizara inatuma wakaguzi kuchunguza Ufisadi anayechunguzwa yupo ofisini kakamata sterling , Anachota Fedha anavyotaka kupooza wachunguzi.

Nimepata Picha Eng Rujomba Anapiga Lunch pamoja Na team ya Uchunguzi.yaani mtuhumiwa anawanunulia Msosi wachunguzi Wakimaliza Wanavuta Mzigo wa Kutosha na Posho
Wamepewa na wizara..
 
Team Uchunguzi msipoteze muda nendeni straight kwenye hoja ya ufisadi

Maswali ya Msingi ni haya

1. Je tender imetangazwa?

2.kwanini Gharama za ujenzi zimepanda kutoma Gharama ya awali ya Tzs 20 bilion hadi 36 bilion

3. Je walipewa barua ya No Objection kutoka AFDB? Na kama hawana kwanini wamesaini mkataba wakati hawana barua ya No Objection kama walivyoshauriwa na AFDB mission kwa makubaliano yaliyosainiwa pamoja Tarehe 27 June 2022 kati ya Rujomba , Mkurugenzi wa Maji Mjini Mama msiru na Msimamizi wa Miradi ya maji wa AFDB Eng Rweitabula?

4. Kwanini mkataba umesainiwa bila uwepo wa Wajumbe wa bodi?

5, kwanini Umesainiwa bila ridhaa ya bodi ya wakurugenzi wa AUWSA?

6. Kwanini umesainiwa bila uwepo wa Project manager wa AUWSA Eng Mkawe?

7.kwanini mkataba haukuwa vetted na Mwansheria mkuu wa Serikali kama sheria inavyotaka?

8.Kwanini Mkataba umesainiwa siku
Mkataba Construction of New water system wa AUWSA na Sinohdro unaisha? Mkatana wa AUWSA na Sinohdro umeisha tarehe 7 Julai 2022 na kazi ajamaliza. Tumegundua lengo ni kuisaidia kampuni ya Sinohdro kukwepa kutolipa penalties ya kuchelewa kumaliza kazi, yaani tumepigwa 16 bilion ambazo Eng Rujomba na wakubwa wa wizara wanagawana pia tunapigiwa tena 8 Milion ambayo sinohdro anatakiwa kulipa AUWSA kila siku kwa mwezi sawa na Tzs 240 Milion kwa mwaka ni sawa na Tz 2,880,000,000.00 kwa kuchelewa kumaliza kazi , Hizi 8 Milion kila siku zinaingia kwenye Account ya nani? Hii naiandalia threat ya pekee leo sitaizungumzia sana tumalize kwanza huu mtanange .

9. Penalties anayopaswa kutozwa sinohdro kutomaliza kazi Kwa wakati consruction of New water system inaingia katika akaunti hipi ya Mamlaka ya Maji AUWSA? Mkataba umeisha Tarehe 7 Julai 2022 inatakiwa kila siku atozwe Tzs 8 Milion kila siku kwa kuchelewa kumaliza kazi, hizi pesa zinaingia Acount za nani? iCHUNGUZWE

10.kwanini mkataba umesainiwa na Eng Rujomba peke yake siku ya Sikuu Tarehe 7 Julai

11. Kwanini Mkataba umesainiwa bila kushuudiwa na management?

12. Kikao gani cha Tender Board kilipitisha huu ufisadi.. ombeni muhtasari wa kikao kilichopitisha tender hii.

13.kikao cha AFDB mission Tarehe 27 June 2022 kilishauri AUWSA ifanye adendum baada ya adendam waombe no objection kwanini eng RUjomba ameenda kinyume na maagizo ya AFDB?
 
Waziri Aweso na Katibu Mkuu Sanga ondoeni team yenu mliyotuma kuchunguza Ufisadi wa ujenzi wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction badala kuchunguza ufisadi wanatishia watumishi wa AUWSA kuwa
wametumwa na Katibu Mkuu sanga kuamisha watu… Sawa amisheni watumishi wote mnaoisi wanawasiliana na Moshi town.. Moshi town ni Taifa kubwa

Ujinga sana badala ya kuchunguza ufisasi mnatisha watumishi… Mwambieni Sanga ampigie MD wa Mwanza ampokee mtumishi mliyemtisha kumuamisha mwanza tuone kama mtatoboa hii taarifa tutafikisha kwa Rais, waziri Mkuu na Wizara ya utumishi… stupid kabisa.
 
Mkuu MOSHI TOWN una uchungu haswa, ukihitaji namba ya DG TAKUKURU Salum Hamduni nitakupa
 
Mkuu MOSHI TOWN una uchungu haswa, ukihitaji namba ya DG TAKUKURU Salum Hamduni nitakupa
Nipatie Namba ya DG PCCB ,its too Much ,kamati imeundwa kuchunguza Mkataba wa ufisadi badala ya kupitia huo mkataba na kuangalia Namna ya kuokoa Fedha za Serikali wao wapo bussy kuwatisha watumishi kuwa wametumwa na waziri Aweso na katibu mkuu kuchunguza anayetoa taarifa kwa Moshi town huu ni upumbavu wa kiwango cha hali ya Juhu.
 
Kamati ya Uchunguzi Hawangaiki na ulaji wa 36 bilion wao wanamtafuta mkuda…

Hawaulizi Tzs 8 Milion zinazolipwa na sinohdro kila siku kwa kuchelewa kumaliza kazi ya construction of New water system zinaingia account ya nani ? wao wako bussy kutisha watumishi wa AUWSA kuwa wametumwa na waziri Aweso na Eng Sanga kuchunguza anayetoa taarifa kwa Moshi town wamshugulikie…

Watumishi wa AUWSA tulieni msiwe na hofu hakuna wa kuwaamisha mungu yupo upande wenu .. Hii ni vita ya Wanaopambana na ufisadi na mafisadi.. kamwe Mungu hawezi akawa upande wa mafisadi

Wanaopanga kuamisha watu wataondoka kabla ya Kuwaamisha nyie wana wa haki.

Ukimsikiliza Aweso kwenye Majukwaa anamtaja mungu utadhani ni mtakatifu kumbe ni Jizi namba Mmoja na hana uchungu na wananchi kama anavyojionyesha kwenye Majukwaa.. He is Corrupt.
 
Ni Ujinga kutaka kuaminisha Serikali
Na Wananchi kuwa kazi ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maji na Ujenzi wa mitambo ya kupunguza Fluoride ni kitu kimoja .. Hizi ni kazi tofauti

Nani aliyemruhusu Rujomba kusaini mkataba wa Tzs 36 bilion bila kutangaza tender? Nani ameongeza Gharama kutoka 20bilion hadi 36 Bilion? Kwanini wamesaini mkataba bila kufanyiwa vetting na Mwanasheria Mkuu? Walimtaarifu Mwanasheria Mkuu
Kuwa hawana Barua ya No objection kutoka AFDB.
 
Dr. Nditi tunajua uswahiba wako na Aweso umeteuliwa kuongoza tume kufanya Uchunguzi badala ya Kufanya Uchunguzi unafanya kazi ya kufunika kombe mwanaharamu Eng Rujomba apite kwa Pesa za Umma.. Upo Arusha unalipwa na Serikali na siyo Aweso .Tume yenu ya Uchunguzi ni Biassed

Fanya Uchunguzi wa uhalali wa mkataba na siyo kutisha watumishi kuwa wataamishwa..

Tunajua Upigaji mliofanya miradi ya Ujenzi wa Miundombinu ya Maji fedha zilizotoka india.. Kwa kazi Nzuri ya kufanikisha upigaji ukapewa 10 Milion na Aweso kikao cha wafanyakazi wa Wizara ya Maji kwa kazi nzuri uliyofanya ya kufanikisha kampuni za Aweso kupata Zabuni… last year ulipoteuliwa kufanya Uchunguzi ufisadi mradi wa Tzs 2.5 bilion wa Ujenzi wa miundombini ya Uhondoji Majitaka ukapeleka report ya Kijinga kumaliza kashfa ya ufisadi wa Mradi wa A to Z. This time ujuwe kabisa atutakubali ije Mvua au Ije Jua.
 
Ni Upuuzi waziri Aweso kutumia Fedha za Uma kufanya Uchunguzi wa Funika kombe mwanaharamu apite. Anachofanya Aweso ni matumizi mabaya ya Fedha za Umma.. Dr. Nditi ameenda Arusha mara ngapi kufanya Uchunguzi? Ni zaidi ya mara tano report zake ni za kutetea ufisadi tuu..Hakuna anachofanya yeye kikao kikiisha anakutana na HPMU wa AUWSA Ndg Kondela na ENg Rujomba kuwapatia taarifa ya waliwaongelea vibaya kwenye mahojiano ni aibu mwanaume kuwa mbeya kama Nditi. . Dr. Nditi ni snitch anaangalia tumbo lake , anasubiri siku ya Kufanya Exit anapewa baasha anasepa , Ni
Aibu Daktari Mzima kupokea Baaasha … Shame on you Dr. Nditi na team yako.

Mkitaka AUWSA itulie muondoeni Rujomba ni Fisadi. Leteni Mkurugenzi muadilifu ambaye siyo Fisadi

Eng Rujomba Amepiga Pesa mradi wa A to Z wa Tzs 2.5 bilioni ,Alimpatia kandarasi ya Ujenzi kampuni ya Tumaini Engineering baada kuleta taarifa humu mkataba wa Tzs 2.5 bilion
Umevunjwa na hakuna hatua iliyochukulowa dhidi ya kampuni ya Tumaini Engineering na Rujomba wapo
Mtaani wanatamba TAKUKuRu Arusha wapo wanachekelea tuu

Rujomba Mwaka wa Fedha aliongeza Fedha za kununua Uniform za Watumishi kutoka Tzs 25,000 hadi 54,000 hakuna hatua iliyochukuliwa dhidi yake

Kampuni ya sinohdro anatakiwa kuilipa AUWSA kila Siku Tzs 8 Milion sawa na Tzs 240,000,000.00 kwa mwezi kwa kuchelewa kumaliza kazi baada ya mkataba wake kuisha Tarehe 7 Julai 2022 toka Tarehe hii Pesa zinaingia account binafsi ya Eng Rujomba.

Rujomba ameongeza Gharama za Construction of water blending system for FLOURIDE reduction kutoka Tzs 20 Bilion Gharama ya awali hadi Tzs 36 bilion

Rujomba amesaini Mkataba Wa Tzs 36 bilion Wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction na kampuni ya Sibohydro bila zabuni kutangaza , bila No Objection kutoka AFDB , Bila Management ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Bodi ya wakurugenzi ya AUWSA kuwa na Taarifa,
Bila Tender Board ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Manager Mradi wa AUWSA kuwa na Taarifa… kwa Kifupi mkataba wa kifisadi wa Tzs 36 Bilion umesainiwa chumbani kati ya watu wawili Eng Rujomba na Mchina .
 
Ofisi ya Rais ,Waziri Mkuu, Ofisi Mkaguzi Mkuu wa Serikali ( CAG) DG wa PCCB undeni tume huru kuchunguza huu mkataba wa Kifisadi wa Tz 36 bilion kuokoa pesa za walipa Kodi ambao wengi ni wanyonge.

Aweso ameunda tume ya Ma”Snitch” badala ya wachunguze uhalali wa mkataba wao wanatishia watumishi na kibaya wanatoa taarifa za Vikao / Mahojiano ya Siri kwa Eng Rujomba na HPMU Kondela. China kufanya usnitch unauwawa.

Na kibaya anayechunguzwa kwa Ufisadi w Tzs 36 bilion Eng Rujomba yupo Ofisini.. Taratibu za uchunguzi zipo wazi mtuhumiwa anatakiwa kukaa pembeni kipindi cha uchunguzi… Aweso Sijuhi kasoma wapi? Anashindwa hata kuliona hili? Hii inaitaji Kushauriwa? Hapana bana … Hapana bana.

Tume ya Aweso chini ya Dr. Nditi ondokeni hapo AUWSA mnatumia Fedha za Umma vibaya… Ninarudia kwa
Mara ya Pili ondokeni hapo haraka

Jana Mmefanya jambo la aibu mnanunuliwa Lunch na mtuhumiwa? Mnajisikiaje kukaa Meza moja kula na mtuhumiwa? Its Upumbavu hata kama ni Njaa imezidi.
 
Ni Upuuzi waziri Aweso kutumia Fedha za Uma kufanya Uchunguzi wa Funika kombe mwanaharamu apite. Anachofanya Aweso ni matumizi mabaya ya Fedha za Umma.. Dr. Nditi ameenda Arusha mara ngapi kufanya Uchunguzi? Ni zaidi ya mara tano report zake ni za kutetea ufisadi tuu..Hakuna anachofanya yeye kikao kikiisha anakutana na HPMU wa AUWSA Ndg Kondela na ENg Rujomba kuwapatia taarifa ya waliwaongelea vibaya kwenye mahojiano ni aibu mwanaume kuwa mbeya kama Nditi. . Dr. Nditi ni snitch anaangalia tumbo lake , anasubiri siku ya Kufanya Exit anapewa baasha anasepa , Ni
Aibu Daktari Mzima kupokea Baaasha … Shame on you Dr. Nditi na team yako.

Mkitaka AUWSA itulie muondoeni Rujomba ni Fisadi. Leteni Mkurugenzi muadilifu ambaye siyo Fisadi

Eng Rujomba Amepiga Pesa mradi wa A to Z wa Tzs 2.5 bilioni ,Alimpatia kandarasi ya Ujenzi kampuni ya Tumaini Engineering baada kuleta taarifa humu mkataba wa Tzs 2.5 bilion
Umevunjwa na hakuna hatua iliyochukulowa dhidi ya kampuni ya Tumaini Engineering na Rujomba wapo
Mtaani wanatamba TAKUKuRu Arusha wapo wanachekelea tuu

Rujomba Mwaka wa Fedha aliongeza Fedha za kununua Uniform za Watumishi kutoka Tzs 25,000 hadi 54,000 hakuna hatua iliyochukuliwa dhidi yake

Kampuni ya sinohdro anatakiwa kuilipa AUWSA kila Siku Tzs 8 Milion sawa na Tzs 240,000,000.00 kwa mwezi kwa kuchelewa kumaliza kazi baada ya mkataba wake kuisha Tarehe 7 Julai 2022 toka Tarehe hii Pesa zinaingia account binafsi ya Eng Rujomba.

Rujomba ameongeza Gharama za Construction of water blending system for FLOURIDE reduction kutoka Tzs 20 Bilion Gharama ya awali hadi Tzs 36 bilion

Rujomba amesaini Mkataba Wa Tzs 36 bilion Wa Construction of water blending system for FLOURIDE reduction na kampuni ya Sibohydro bila zabuni kutangaza , bila No Objection kutoka AFDB , Bila Management ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Bodi ya wakurugenzi ya AUWSA kuwa na Taarifa,
Bila Tender Board ya AUWSA kuwa na Taarifa, bila Manager Mradi wa AUWSA kuwa na Taarifa… kwa Kifupi mkataba wa kifisadi wa Tzs 36 Bilion umesainiwa chumbani kati ya watu wawili Eng Rujomba na Mchina .
Inaonyesha huyu Rujomba ni tajiri mno kwa sasa, kama hizi tuhuma dhidi yake zina ukweli.
 
Mkuu MOSHI TOWN,nilikupa namba ya DG TAKUKURU SALUM HAMDUNI,tafadhali WASILIANA nae
 
Back
Top Bottom