DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ushidi wa Mkataba kusainiwa kati ya Eng Rujomba na Sinohdro huu hapa
 

Attachments

  • 45632DE6-7BCB-4AAE-AD6A-F02D58A35E55.jpeg
    61.9 KB · Views: 18
  • 48FB0FD9-BCA8-4428-9C4D-1860283E3B4D.jpeg
    70.4 KB · Views: 14
  • B5058DD6-4736-418C-9FA9-5726E73F037E.jpeg
    61.9 KB · Views: 18
  • 7F21D2EE-13A6-464C-9D21-352D35F7FE48.jpeg
    65.3 KB · Views: 16
  • B3CA4491-E1BD-4EC1-B3A2-B2841D81DD31.jpeg
    65.3 KB · Views: 15
  • B5A6248D-9A15-47D8-96F6-C9C923A7E028.jpeg
    62.3 KB · Views: 14
PCCB mnataka ushaidi gani tena hawa watuhumiwa wafikishwe Mahakamani?
 
Ninarudia Eng Rujomba ni Fisadi afikishwe Mahakamani kwa kusaini mkatana wa Kifisadi wa Tzs 36 bilion bila zabuni kutangazwa.
 
Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Ongeza kamba yako usijudge ya mwenzio utakuwa mchawi
 
Leo mmeanza kugeuza kauli kuwa ni Additional Job, its realy additional Job anapatiwa mkandarasi ambaye Mkataba umeisha na ajamaliza kazi? Na anadaiwa Demerages?

Na 1% ambayo anapaswa kuilipa AUWSA inaingia account hipi ya AUWSA? Sinohdro anapaswa kuilipa AUWSA TZs 100Milion kila siku kutokana na kutomaliza kazi hizi pesa zinaingia account ya nani?
 
Alafu waziri Aweso anaunda kamati kuchunguza unachunguza nini
Wakati ushaidi ni huu hapa,

Pembeni wanasema mkataba ni maagizo ya Waziri Aweso.. kutaeleweka mmeitafuna sana AUWSA pumbuvu zenu wezi nyie
 
Nilikupa namba ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni,ni vema Ushahidi mzuri kama huu ungemtumia,yupo online Whatsapp muda wote
 
Nilikupa namba ya Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni,ni vema Ushahidi mzuri kama huu ungemtumia,yupo online Whatsapp muda wote
Nimewasiliana naye kupitia Njia nyingine mambo ni moto . .. Mambo ni Fire … Fire …soon watu wanaanza kuvaa kanzu kisongo

Na kuna ambao wapo Dodoma kinasubiriwa Vibali vya kukamatwa kutoka kwa wazee wa Nchi..! Anza kula Pop korn na fanta baridi.
 
Rujomba ana kamba sana walipiga kamba hadi Ofisi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali . Uzuri Mwanasheria Mkuu wa serikali alijitoa kwenye risk…Sasa kila mtu apambane na hali yake… Shikamoo Mama Samia.
 
Rujomba ana kamba sana walipiga kamba hadi Ofisi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali . Uzuri Mwanasheria Mkuu wa serikali alijitoa kwenye risk…Sasa kila mtu apambane na hali yake… Shikamoo Mama Samia.
Umemtaarifu Jaji Feleshi hili swala?
 
Yes… Nimeandika Official letter ila
Kama upo naye karibu mtonye.
Barua siku zote hizi unahangaika humu!!? huyo ungemtaarifu hilo swala lingeshaisha zamani sana kama kuna ukweli hana konakona huyo na uzuri wanamjua "hanunuliki", ungemtumia hata SMS tu lazima angerespond.
 
Kesho naleta BoQ ya awali ya Tzs 20 bilion na ya Rujomba na Aweso ya 36 bilion Tanzania na Dunia ione maajabu.

Nitaambatanisha na signed Mkataba ,nasubiri exit ya wale wajinga ( Dr Nditi na tean yake) waliotumwa na Aweso nione upuuzi walioandika.

Nitaambatanisha makubakiano AFDB Mission iliyosaniwa tarehe 27 June 2022

Aweso na Rujomba wamepiga Pesa sana Auwsa….!
 
Mkuu wa Wilaya, Mkoa....wapo, Waziri mhusika...yupo, wote wanaoweza kuchukua hatua mara moja wapo...lakini hutasikia chochote...eh, nimesahau: rais yupo....maana Bil 36 ni shule zaidi ya kumi full furnished!
Kinachonishangaza ni kufanana kabila ya huyo injinia (Rujoba) na lile la mtu wa AFdB! Hawa watu hatari sana kwa kuila hii nchi. Ningekuwa rais nisingeruhusu hawa watu kuwa na dhamana ya zaidi ya shil mil 1. It is not coincidental that majority of thieving of public funds cases you will find one of them involved. Hawa hawafunzwi maadili kabisa!
Matumaini pekee yatakuwa kwa watu waadilifu katika AFdB, hivyo kwamba wameishakataa. Tena wamswage huyo nanihii waliomweka TZ. Walete Mmasai!
 
Ni cheni ndefu sana yupo Rujomba- Wakubwa Wizara ya Maji - Eng Rweitabula wa AFDB .
 
Barua siku zote hizi unahangaika humu!!? huyo ungemtaarifu hilo swala lingeshaisha zamani sana kama kuna ukweli hana konakona huyo na uzuri wanamjua "hanunuliki", ungemtumia hata SMS tu lazima angerespond.
Tumpatie muda tuone kama atauchuna ndiyo tumrukie kwa Ngora.
 
Its so sad kamati ya Uchunguzi ya Waziri Aweso na Eng Sanga imekamilisha kazi yake bila kuoji watu muhimu kama

1. Consultant
2. Projectn implementation tean ( PIT) ameojiwa Eng Mkawe tuu na ameulizwa swali la Kijinga kwanini akualikwa kushuudia kusainiwa mkataba.

3. Mamagement ya AUWSA awajaojiwa

4.Hakuna Barua imeandikwa AFDB kuulizia kama walitoa Barua ya No Objection

5. Wajumbe wa bodi ya wakurugenzi awajaojiwa kama waliruhusu Mkataba usainiwe.

6. Mkandarasi kampuni ya Sinohdro awakuitwa waelezee walijuaje kuna tender , pesa za Kuchelewa kumaliza mradi wa Ujenzi wa mtandao wa majisafi Tzs 100 Milion kila siku kwa siku 100 zinaingia account ya nani?

7. MD wa AUWSA akuojiwa alitoaje tender kwa kampuni ya Sinohdro wakati mkataba umeisha na awajamaliza kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…