Itakuwa wewe ndiyo haujui Sheria ya mikataba Kimataifa.
Sheria ya Mikataba ya kimataifa inaelekeza Zabuni kutangazwa ili apatikane Mshindi halali,
Zabuni ya Construction of water blending system for FLOURIDE reduction aikutangazwa na Mkandarasi kampuni ya China Sinohydro wamepatiwa zabuni bila kupitishwa na Bodi ya Zabuni ya AUWSA ( AUWSA Tender Board) ,
Sheria ya zabuni inaitaji kabla ya Mkandarasi kusaini Mkataba unaozidi 1 Bilion Mkataba uende kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa ajili ya Veting hii aikufanyika , Mkataba umeandaliwa na Mchina Eng Rujomba akasaini bila hata ya kupata Ushauri wa Wanasheria wa AUWSA Advocate Sabas na Namayani, Kwa Lugha Raisi Mkataba umesainiwa bila kufanyiwa Vetting na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Mkataba Umesainiwa bila kupata No Objection kutoka AFDB, Sheria inaitaji kabla ya Mkataba Kusainiwa PE ( AUWSA) itume taarifa ( Evaluation report) kwenda wa Donor ( AFDB) kumfaamisha Mchakato umefanyika kwa kufuata Procedure zote za Tender kwa maama Tender Imetangazwa, Evaluation team wamepitia na Tender Board imekaa na Kuridhia, Haya yote ayakufanyika na hadi leo AFDB wamegoma kutoa barua ya No Objection..
Mkataba umesainiwa kisiri Siku ya
Ambayo siyo ya kazi Tarehee 7 Julai
2022 Lengo ikiwa ni isigundulike.. Sheria
Inataka mikataba isainiwe siku ya kazi na kwa uwazi and not otherwise.
Mkataba umesainiwa bila kushuudiwa na Wajumbe wa Bodi ya AUWSA
Mkataba Umesainiwa bila kushuudiwa na Management
Gharama za Ujenzi umeongezeka kutoka 20 bilion hadi 36 bilion kuna ongezeko la 16 bilion.. Mkandarasi Mshauri ( Consultancy) kampuni ya Cheil consultancy iliandaa BOQ ya Ujenzi wa Mradi iwe Tzs 20 bilion Engineer Rujomba amesaidi Tzs 36 bilion.
Project Manager Eng Mkawe Akushirikishwa katika Process ya kumtafuta Mkandarasi hii ni hatari inakuwaje MD na HPMU wanafanya Proces ya Kumtafuta Mkandarasi na kusaini Mkataba Project Manager hana taarifa?
Huu Mkataba ni kama Richmond , Mwaka 2008 Karamagi alisaini mkataba kisiri na kampuni ya Richmond Siku ya Public Holiday Nje ya Nchi.