Moshi town
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 171
- 120
- Thread starter
-
- #101
Nimeweka ushaidi wa picha wakati wa kusaini mkataba,.... wewe jamaa unamvyomsakama Mkurugenzi kwa id tofauti dah! Kungekuwa na ukweli Serikali haioni ikachukua hatua? Isije kuwa issues binafsi mnazifanya za kitaifa!
Yupo na waziri wa Maji , Katibu Mkuu wizara ya Maji na Mkurugenzi wa Maji mjini… wameunda kamati ya uchunguzi badala ya kuchunguza mikataba na kuoji Right People kwa maana wanaousika na Procurement , Sheria , Miradi , Ofisi ya mwansheria Mkuu wa Serikali kama waliupitia Mkataba na walishauri nini? Wafadhili AFDB kama walitoa barua ya No Objection , Management yote kama wanataarifa ya kusainiwa Mkataba, na Bodi ya wakurugenzi kama inajua chochote..Kama ni kweli basi atakuwa na cover inayomlinda la sivyo angekuwa anachungulia kwenye dirisha dogo
Uzalendo kwanza..!Mkuu
una hasira yakukosa mgao nini
Tete… Tetehee … Safari hii pataeleweka kama siyo Rujomba itakuwa Aweso na KM wake.Aisee imekuwaje wamemwaga mboga
Naona unamwaga ugali huku
Nimeweka ushaidi wa Picha…Tanzania Shillings 36 Billion kwa single source aliweza Magufuli tu kwa namna alivyokuwa ananunua zile Boeing na bombardiers.
Siamini kama hii taarifa Ina ukweli halafu bila idhini ya Bodi ya zabuni Wala hao AfDB??
Bado unabisha? Njia ya muongo ni fupiMajungu
Kuwadi wa Mafisadi bado unabisha mkataba haukusainiwa?Kuanza kukuelimisha humu ndani ni shida haya endelea na mapambano yako yasiyo na mashiko unapoteza muda kwa kutokujua contract. Jua tu sio contract zote zinatawaliwa na PPRA na specifications zake.
Du kazi kweli kweli, pole sana Eng Rujomba. Vita ni kali sana dhidi yako. Ukweli utajulikana punde, kutokujua sheria za mikataba ya ujenzi ndio shida kuu hapa.Kwanini Aweso hataki taarifa za Ufisadi ujulikane? Kwanini hataki kumchukulia Eng Rujomba hatua? Kwanini anafurai Gharama za Ujenzi kuongezeka kutoka 20 bilion hadi 36 bilion? Kwanini ameruhusu mkataba kusainiwa bila barua ya No Objection kutoka AFDB? Kwanini aruhusu Sinohdro kupatiwa kazi wakati kuna kazi ya awali ambayo ajamaliza na mkataba umeisha? Tzs 100 zinazopaswa kulipwa na sinohdro kama penalties ya kutomaliza kazi ya awali inaingia kwenye account ya nani? Kwanini ameruhusu sinohdro apatiwe mkataba bila zabuni kutangazwa?
Maazimio ya kikao cha special Supervision mission 13 - 17 June 2022 ya construction of De- Fluoride System at seed Farm ni haya.Du kazi kweli kweli, pole sana Eng Rujomba. Vita ni kali sana dhidi yako. Ukweli utajulikana punde, kutokujua sheria za mikataba ya ujenzi ndio shida kuu hapa.
Daha.. hii Nchi Ngumu.. Kwako ni sahii AUWSA kutoa additional work kwa mkandarasi aliyeshindwa kukamilisha kazi?Du kazi kweli kweli, pole sana Eng Rujomba. Vita ni kali sana dhidi yako. Ukweli utajulikana punde, kutokujua sheria za mikataba ya ujenzi ndio shida kuu hapa.
Daha.. hii Nchi Ngumu.. Kwako ni sahii AUWSA kutoa additional work kwa mkandarasi aliyeshindwa kukamilisha kazi?
Kampuni ya sinohdro Constructiom ilisaini mkataba na AUWSA wa Expansion of water Supply outside CBD Wenye Thamani ya Tzs USD 110,419,202.45 sawa na Tzs 258, 938,029,745.25 ( Bilioni Mia mbili amsini nane milioni mia tisa elfu thelathini na nane) Tarehe 9 October 2018 huu mkataba ulipaswa kuisha Dec 2020 mkandarasi akaongezewa mkataba hadi Tarehe 7 Julai 2022 .
Kuanzia Tarehe 7 Julai 2022 sinohydro anatakiwa ailipe AUWSA Tzs 100 Milion kwa siku 100 kama Demarages kwa kuchelewa kumaliza kazi , baada ya Siku 100 AUWSA inatakiwa kuvunja mkataba.
Maswali ya Msingi 100 Milion ambazo sinohdro anapaswa kuilipa AUWSA zinaingia Account ya nani? Nimefanya uchunguzi Bank Sinohydro aijawahi ingiza hata cent Moja account ya AUWSA malipo ya Demarages.
Kwanini Mkandarasi aliyeshindwa kumaliza kazi aongezewe zabuni bila kutangazwa?
Kwanini Mkataba umesainiwa Tarehe siku ambayo mkataba wake umeisha Tarehe 7 Julai 2022 tena siku ya Public holid
Ndugu Moshi town umeingia choo cha kike ndugu demurrage charges?????? kituko.I am still insisting this is ignorance in the Contract management period.
Why should they seek no objection from the financier while it is a variation??? poor Moshi town.Maazimio ya kikao cha special Supervision mission 13 - 17 June 2022 ya construction of De- Fluoride System at seed Farm ni haya.
1.AUWSA to submit Justification which include the contractor offer and draft addendum for Bank Review and No Objection
2. Submit the Revised bidding Documents and specific Procurement note for Bank Review and No Objection
Auwsa hawajatekeleza haya na No objection aijatoka hadi sasa.
AUWSA Wamekimbilia kusaini zabuni kwa mkandarasi ambaye mkataba wake umeisha toka tarehe 7 Julai 2022 na ajamaliza kazi.