Moshi town
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 171
- 120
- Thread starter
- #101
Kamati badala ya ichunguze Mkataba huu wa Kifisadi wao walijikita kutafuta nani anatoa taarifa kwa Moshi town.. Nawaambia mkimuumiza mtumishi hata mmoja hapo AUWSA tutatoka front sasa kupambana kwa Ushaidi kama ilivyomtokea mtani wangu wa kigoma aliyekuwa MD wa Moshi miaka 2008 bila uwoga na atakayeumia ni waziri Aweso.
Ushauri wangu kwa Aweso na Sanga muondoeni Fisadi Rujomba Arusha , Vunjeni huu mkataba wa kifisadi zoezi la
Procurement isimamiwe na wizara ya
maji au GPSA apatikane Mkandarasi Mwenye Bei nzuri kuokoa pesa za watanzania.