DOKEZO Mkurugenzi wa AUWSA asaini Mkataba wa kifisadi wa TZS 36.3 Bilion na Mchina bila Ridhaa ya Bodi ya Ununuzi ya AUWSA na wafadhili AfDB

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kamati badala ya ichunguze Mkataba huu wa Kifisadi wao walijikita kutafuta nani anatoa taarifa kwa Moshi town.. Nawaambia mkimuumiza mtumishi hata mmoja hapo AUWSA tutatoka front sasa kupambana kwa Ushaidi kama ilivyomtokea mtani wangu wa kigoma aliyekuwa MD wa Moshi miaka 2008 bila uwoga na atakayeumia ni waziri Aweso.

Ushauri wangu kwa Aweso na Sanga muondoeni Fisadi Rujomba Arusha , Vunjeni huu mkataba wa kifisadi zoezi la
Procurement isimamiwe na wizara ya
maji au GPSA apatikane Mkandarasi Mwenye Bei nzuri kuokoa pesa za watanzania.
 
Unamuhita Mija kumuoji anajua nini
Kwenye mradi? Si ni Ujinga na Upumbavu

Unamuita Eng Tarimo kumuoji una akili kweli ? Eng Tarimo anajua nini kwenye mradi? Ametoka Ngaramtoni mkampeleka pondi ..ajawai ingia ofisi ya mradi hata mara Mmoja.
 
Kwanini Aweso hataki taarifa za Ufisadi ujulikane? Kwanini hataki kumchukulia Eng Rujomba hatua? Kwanini anafurai Gharama za Ujenzi kuongezeka kutoka 20 bilion hadi 36 bilion? Kwanini ameruhusu mkataba kusainiwa bila barua ya No Objection kutoka AFDB? Kwanini aruhusu Sinohdro kupatiwa kazi wakati kuna kazi ya awali ambayo ajamaliza na mkataba umeisha? Tzs 100 zinazopaswa kulipwa na sinohdro kama penalties ya kutomaliza kazi ya awali inaingia kwenye account ya nani? Kwanini ameruhusu sinohdro apatiwe mkataba bila zabuni kutangazwa?
 
.... wewe jamaa unamvyomsakama Mkurugenzi kwa id tofauti dah! Kungekuwa na ukweli Serikali haioni ikachukua hatua? Isije kuwa issues binafsi mnazifanya za kitaifa!
Nimeweka ushaidi wa picha wakati wa kusaini mkataba,
 
Kama ni kweli basi atakuwa na cover inayomlinda la sivyo angekuwa anachungulia kwenye dirisha dogo
Yupo na waziri wa Maji , Katibu Mkuu wizara ya Maji na Mkurugenzi wa Maji mjini… wameunda kamati ya uchunguzi badala ya kuchunguza mikataba na kuoji Right People kwa maana wanaousika na Procurement , Sheria , Miradi , Ofisi ya mwansheria Mkuu wa Serikali kama waliupitia Mkataba na walishauri nini? Wafadhili AFDB kama walitoa barua ya No Objection , Management yote kama wanataarifa ya kusainiwa Mkataba, na Bodi ya wakurugenzi kama inajua chochote..

Unfortunatelly , Team ya Uchunguzi chini ya Dr. Nditi wao wanachunguza nani anatoa siri kwa moshi town… Ujinga sana kudhani kumpata moshi town ni rahisi…
 
Tanzania Shillings 36 Billion kwa single source aliweza Magufuli tu kwa namna alivyokuwa ananunua zile Boeing na bombardiers.

Siamini kama hii taarifa Ina ukweli halafu bila idhini ya Bodi ya zabuni Wala hao AfDB??
Nimeweka ushaidi wa Picha…
 
Kuanza kukuelimisha humu ndani ni shida haya endelea na mapambano yako yasiyo na mashiko unapoteza muda kwa kutokujua contract. Jua tu sio contract zote zinatawaliwa na PPRA na specifications zake.
Kuwadi wa Mafisadi bado unabisha mkataba haukusainiwa?
 
Kwanini Aweso hataki taarifa za Ufisadi ujulikane? Kwanini hataki kumchukulia Eng Rujomba hatua? Kwanini anafurai Gharama za Ujenzi kuongezeka kutoka 20 bilion hadi 36 bilion? Kwanini ameruhusu mkataba kusainiwa bila barua ya No Objection kutoka AFDB? Kwanini aruhusu Sinohdro kupatiwa kazi wakati kuna kazi ya awali ambayo ajamaliza na mkataba umeisha? Tzs 100 zinazopaswa kulipwa na sinohdro kama penalties ya kutomaliza kazi ya awali inaingia kwenye account ya nani? Kwanini ameruhusu sinohdro apatiwe mkataba bila zabuni kutangazwa?
Du kazi kweli kweli, pole sana Eng Rujomba. Vita ni kali sana dhidi yako. Ukweli utajulikana punde, kutokujua sheria za mikataba ya ujenzi ndio shida kuu hapa.
 
Daha.. hii Nchi Ngumu.. Kwako ni sahii AUWSA kutoa additional work kwa mkandarasi aliyeshindwa kukamilisha kazi?

Kampuni ya sinohdro Constructiom ilisaini mkataba na AUWSA wa Expansion of water Supply outside CBD Wenye Thamani ya Tzs USD 110,419,202.45 sawa na Tzs 258, 938,029,745.25 ( Bilioni Mia mbili amsini nane milioni mia tisa elfu thelathini na nane) Tarehe 9 October 2018 huu mkataba ulipaswa kuisha Dec 2020 mkandarasi akaongezewa mkataba hadi Tarehe 7 Julai 2022 .

Kuanzia Tarehe 7 Julai 2022 sinohydro anatakiwa ailipe AUWSA Tzs 100 Milion kwa siku 100 kama Demarages kwa kuchelewa kumaliza kazi , baada ya Siku 100 AUWSA inatakiwa kuvunja mkataba.

Maswali ya Msingi 100 Milion ambazo sinohdro anapaswa kuilipa AUWSA zinaingia Account ya nani? Nimefanya uchunguzi Bank Sinohydro aijawahi ingiza hata cent Moja account ya AUWSA malipo ya Demarages.

Kwanini Mkandarasi aliyeshindwa kumaliza kazi aongezewe zabuni bila kutangazwa?

Kwanini Mkataba umesainiwa Tarehe siku ambayo mkataba wake umeisha Tarehe 7 Julai 2022 tena siku ya Public holidays
 
Maazimio ya kikao cha special Supervision mission 13 - 17 June 2022 ya construction of De- Fluoride System at seed Farm ni haya.

1.AUWSA to submit Justification which include the contractor offer and draft addendum for Bank Review and No Objection

2. Submit the Revised bidding Documents and specific Procurement note for Bank Review and No Objection

Auwsa hawajatekeleza haya na No objection aijatoka hadi sasa.

AUWSA Wamekimbilia kusaini zabuni kwa mkandarasi ambaye mkataba wake umeisha toka tarehe 7 Julai 2022 na ajamaliza kazi.
 
Tuvumilie tu maana nchi imeshapoteza uelekeo.Hakuna tena kuwasumbua
 
Dr. Nditi na team yako hongereni sana kwa kazi Nzuri mliyoifanya ya kupendekeza majina ya watumishi wanaopambana na ufisadi wa Eng Rujomba waamishwe.Hongereni sana na mbarikiwe kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuungana na wezi wa mali za Umma kuwaumiza watumishi wazalendo.

Wito wangu kwa watumishi mnaoenda kuamishwa msigawanyike Baada ya kupokea barua ya uhamisho bali unganeni muandike barua ya pamoja kwenda OfisI ya Rais , Ofisi ya waziri Mkuu, Barua pia iende wizaranya Utumishi ,DG wa Usalama wa Taifa, DG wa Takukuru , Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai, mwanasheria Mkuu wa serikali , Ofisi ya Mashitaka na Makao Makuu ya AFDB Bank Kuomba kuwa Mashaidi wa Jamhuri katika hii kesi ya Ufisadi wa wazi.

Wakati nafanya mipango ya kuanza kuwasiliana na wahariri wa Vyombo vya habari kutoa taarifa za huu ufisadi maana waandishi waliopo Arusha wameshindwa kutekeleza Majukumu yao wao tuwaache waendelee kugombania posho .
 
Dr. Nditi Watanzania walidhani wewe ni mzalendo wakawa upande wako katika vita vyako na aliyekuwa Katibu Mkuu mifugo Eng Mathew Mtigumwe kumbe na wewe ni wale wale waliokunywa Uji wa Mgonjwa.

Report yako ya Uchunguzi imeacha gape kubwa sana ni aibu kwa Daktari mzima tena mbobezi
Katika procurement kuacha doubt katika Uchunguzi.. We thought utaleta mapendekezo ya kuokoa fedha za Umma na kushauri waliohusika katika Ufisadi wawajibike..

Umeacha kuwaoji watu muhimu sana .. Report yako iko biased sana. Hakuna shida tumeweka matumaini yetu kwa Rais, Waziri Mkuu, CAG , DG TISS na DG PCCB…
 
I am still insisting this is ignorance in the Contract management period.
Daha.. hii Nchi Ngumu.. Kwako ni sahii AUWSA kutoa additional work kwa mkandarasi aliyeshindwa kukamilisha kazi?

Kampuni ya sinohdro Constructiom ilisaini mkataba na AUWSA wa Expansion of water Supply outside CBD Wenye Thamani ya Tzs USD 110,419,202.45 sawa na Tzs 258, 938,029,745.25 ( Bilioni Mia mbili amsini nane milioni mia tisa elfu thelathini na nane) Tarehe 9 October 2018 huu mkataba ulipaswa kuisha Dec 2020 mkandarasi akaongezewa mkataba hadi Tarehe 7 Julai 2022 .

Kuanzia Tarehe 7 Julai 2022 sinohydro anatakiwa ailipe AUWSA Tzs 100 Milion kwa siku 100 kama Demarages kwa kuchelewa kumaliza kazi , baada ya Siku 100 AUWSA inatakiwa kuvunja mkataba.

Maswali ya Msingi 100 Milion ambazo sinohdro anapaswa kuilipa AUWSA zinaingia Account ya nani? Nimefanya uchunguzi Bank Sinohydro aijawahi ingiza hata cent Moja account ya AUWSA malipo ya Demarages.

Kwanini Mkandarasi aliyeshindwa kumaliza kazi aongezewe zabuni bila kutangazwa?

Kwanini Mkataba umesainiwa Tarehe siku ambayo mkataba wake umeisha Tarehe 7 Julai 2022 tena siku ya Public holid
 
Maazimio ya kikao cha special Supervision mission 13 - 17 June 2022 ya construction of De- Fluoride System at seed Farm ni haya.

1.AUWSA to submit Justification which include the contractor offer and draft addendum for Bank Review and No Objection

2. Submit the Revised bidding Documents and specific Procurement note for Bank Review and No Objection

Auwsa hawajatekeleza haya na No objection aijatoka hadi sasa.

AUWSA Wamekimbilia kusaini zabuni kwa mkandarasi ambaye mkataba wake umeisha toka tarehe 7 Julai 2022 na ajamaliza kazi.
Why should they seek no objection from the financier while it is a variation??? poor Moshi town.
 
Back
Top Bottom