Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

Jamaa ana huruma huyu katoa 4m wengine wakimaliza mda wao oficn na vx anaondoka nalo bure
 
Kila mtu ana haki ya kulamba asali mwacheni mkurugenzi nae alambe
 
Ukweli ni kwamba wanaopanga bei ya magari chakavu ya serikali wanayouziwa watumishi ni Hazina. Mtumishi hawezi kujipangia bei
Kwa uelewa wangu kuna udanganyifu unafanyika Kwa ofisi yenye Gari wakishirikiana na tamesa kupeleka ripoti ya uongo kuhusu depreciation ya hiyo Gari .
Nakumbuka kuna jamaa yangu akishirikiana na temesa walidanganya ripoti ya Gari Kwa kusema Gari ipo grounded na imepata accident wakatuma hadi picha za Gari kama hiyo ( land rover defender) iliyopinduka haijatengenezwa.
Jamaa wa hazina wakamkadiria hiyo Gari ainunue Kwa sh laki 7 wakati Gari ilikuwa nzima na inatembea
Hii ni too much... gari imetembea 900Km! Kwa Hilux hiyo ni brand new car; kwa 4mil kweli???
 
Ukweli ni kwamba wanaopanga bei ya magari chakavu ya serikali wanayouziwa watumishi ni Hazina. Mtumishi hawezi kujipangia bei
Kwa uelewa wangu kuna udanganyifu unafanyika Kwa ofisi yenye Gari wakishirikiana na tamesa kupeleka ripoti ya uongo kuhusu depreciation ya hiyo Gari .
Nakumbuka kuna jamaa yangu akishirikiana na temesa walidanganya ripoti ya Gari Kwa kusema Gari ipo grounded na imepata accident wakatuma hadi picha za Gari kama hiyo ( land rover defender) iliyopinduka haijatengenezwa.
Jamaa wa hazina wakamkadiria hiyo Gari ainunue Kwa sh laki 7 wakati Gari ilikuwa nzima na inatembea
Mzee kwa hii kesi hao hazina wanahusika, gari imetembea km900 tu imedepriciate hadi kufika 4m? Pili vikao vya baraza la madiwani hawakupitisha kuuzwa kwa hilo gari
 
Kajipakulia kujipimia kelele huwa zinakuja kama kazinguana na mtu wa ndani tofauti na hapo huwa alisanuki.mali nyingi za umma watu wanajipimia tu wanavyojisikia.
 
Wameshapewa go ahead ya kula kwa urefu wa kamba...acha walambe asali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mnashangaa hiyo wakati kuna ndege ya kupulizia dawa ilishauzwa kwa bei ya infinix 12i!
 
Back
Top Bottom