Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

Chama cha mafisi kineshika hatamu.p.......avu zenu mtanikumbuka kwa mema si kwa mabaya
 
Mchezo huu mchafu unafanywa sana na baadhi ya watendaji wa Serikali karibu kila idara za Serikali zinafanya ubashirifu huu wa kuuziana magari ya Serikali kwa thamani ya chini kabisa, mchezo huu ndio ulio tumika ktk kuuziana nyumba za Serikalai n.k.
tabia hii ikomeshwe.
 
Hawa ni makada wa CCM huwezi kuwafanya chochote
 
Ninashauri magari ya serikali kuanzia sasa yawe na Rangi maalum ili wananchi wakiyaona wapaze sauti.
Na kwa sasa watumishi watakaokopeshwa magari ya serikali huko mitaani hapatakalika iwapo magsri hayo hayatakuwa na rangi maalum.
 
Back
Top Bottom