Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

Jamaa ana huruma huyu katoa 4m wengine wakimaliza mda wao oficn na vx anaondoka nalo bure
 
Kila mtu ana haki ya kulamba asali mwacheni mkurugenzi nae alambe
 
Hii ni too much... gari imetembea 900Km! Kwa Hilux hiyo ni brand new car; kwa 4mil kweli???
 
Mzee kwa hii kesi hao hazina wanahusika, gari imetembea km900 tu imedepriciate hadi kufika 4m? Pili vikao vya baraza la madiwani hawakupitisha kuuzwa kwa hilo gari
 
Kajipakulia kujipimia kelele huwa zinakuja kama kazinguana na mtu wa ndani tofauti na hapo huwa alisanuki.mali nyingi za umma watu wanajipimia tu wanavyojisikia.
 
Wameshapewa go ahead ya kula kwa urefu wa kamba...acha walambe asali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mnashangaa hiyo wakati kuna ndege ya kupulizia dawa ilishauzwa kwa bei ya infinix 12i!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…