Shigganza
Senior Member
- May 24, 2018
- 160
- 412
Mkurugenzi wa halimashauri ya wilaya ya Itigi, Pius Luhende(54) na washitakiwa wengine 6 wamefikishwa katika mahakama ya haikmu mkazi mkoani Singida leo kwa tuhuma za kumuua Isaka Petro februari 2, 2019 katika kijiji cha kazikazi. Upelelezi wa kesi haujakamilika.
Kitendo cha mkurugenzi huyo kufikishwa mahakamani ni ishara tosha kuwa katika awamu ya tano hakuna aliye juu ya Sheria @ Sheria ni msumeno, mtu akifanya kosa haijalishi cheo,'wadhifa na madaraka uliyonayo, Sheria itafuata mkondo wake.
Funzo jingine ambalo tunapata hapa ni Watanzania kuacha kukurupuka na kuzusha vitu ambavyo hatuna uhakika nao, maana hapa katikati yalizuka maneno mengi, mara ni mtoto wa dada yake hawez kufunguliwa mashtaka, sasa leo tutasemaje cjui?