mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi za maagizo.Kazi Yao sasa ni kusaidia Jamhuri kushawishi Mahakama Kuwa DED ndio mhusika wa Moja kwa Moja wa Mauaji sio kuamuru Mauaji !
Isije ikawa kashtakiwa kwa kuua Halafu kesi ikaenda mbele ikawa aliamuru Mauaji hapo Mahakama Huenda ika muachie huru kwa Kuwa Kazi ya Mahakama ni kuhukumu kwa kadiri mlivyoleta Mashtaka Na mshtakiwa alivyojitetea sio vinginevyo
Ukimfungulia DED kesi Kuwa ndio kaua maana yake uthibitishe ndie alishika Silaha akafyatua risasi , Au Kama aliamuru Mauaji basi tangu mwanzo isemwe anashtakiwa kwa kuamrisha Mauaji
Isije ikawa Kama Yale ya Morogoro unashtaki kundi la watu 7 Eti walitoa matamshi ya matusi dhidi ya Rais halafu unaambiwa thibitisha tusi hilo hilo lilitamkwa Na watu wote saba unaanza kubabaika
Mahakamani sio sehemu ya Blaa blaa