Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na wenzake wafikishwa mahakamani

Kwanini mpaka sasa hajafukuzwa kazi , ni kwanini polisi wanapambana kumnasua , je atalala rumande ?
Utashangaa mtu ameua halafu yuko nje na bado anaendelea na kazi yake yuko ndani ya ofisi ya umma halafu watu wengine wamewekwa lumande kwa sababu tu ya kuvunja masharti ya dhamana
 
Hili ni somo kubwa kwa viongozi na dhamana zao.
Kukusanya kodi kwa nguvu kufurahisha wakubwa kumempelekea DED kuingia mauaji na hatimaye lupango.

Busara ni stahiki muhimu katika uongozi.
 
Hili ni somo kubwa kwa viongozi na dhamana zao.
Kukusanya kodi kwa nguvu kufurahisha wakubwa kumempelekea DED kuingia mauaji na hatimaye lupango.

Busara ni stahiki muhimu katika uongozi.
Sikusikia sakata lenyewe lilikuwaje, hebu mnijuze wadau ilikuwaje hilo tukio ?
 
Inaendeleaje mkuu hii kesi?
 
Huu I upelelezi utachukua Miaka 6
 
Huu I upelelezi utachukua Miaka 6
Mwaka mmoja umepita sasa, hatujasikia lolote, upelelezi wa nini na wakati mtu aliua mchana kweupe, waseme/wakiri kwamba aliua halafu watuambie wanapeleleza aliua kwa sababu gani, maan huwa hawachelewi kufoji documents kutoka hospitali zao ikaonesha muuaji alikuwa na magonjwa ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…