Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na wenzake wafikishwa mahakamani

Huyu mtoto wa dada kwani alishafukuzwa kazi vipi yupo mahabusu au nje,
 
Hizi za maagizo.
 
Kwa tukio la polisi kumuua mweusi Marekani ilishuhudia maandamano makubwa sana polisi mhusika na wenzie wanne wakafukuzwa kazi na wanakesi ya mauaji

Huku kwetu ni tofauti kabisa najaribu kuimagine huyu mkurugenzi angekuwa marekani ingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…