Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

Hawa wakurugenzi huwa ni makada na zao la uvccm na ni ngumu kutengenisha CCM na wizi.

Hata wewe mwizi. Swala uliiba Nini na hujakamatwa. CCM kama chama mtu anayekikuta ukibwani hakiwezi mtengeneza tabia yake. Watanzania wengi wetu tunapenda mtelemko na maisha Bora ya fasta fasta. Haina uchama hiyo mkuu.
 
Sijui Kama umeshawahi kujenga.
Bado, Mkuu! Nipe dondoo za uhakika nisije kupigwa. Maana nilikisia hilo bati ni gauge 30 la kawaida siyo msauzi ukizingatia atauza kwa bei ya hasara kwa sababu hajatolea jasho mali hiyo!
 
Back
Top Bottom