Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Mimi nimeelewa comment yako ndiyo maana nimeuliza.Elewa mjadala unahusu nini! Uzipende kuongea tu kama huna kichwa!
By the way wapi umewahi kuona mtu anaongea bila kuwa na kichwa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeelewa comment yako ndiyo maana nimeuliza.Elewa mjadala unahusu nini! Uzipende kuongea tu kama huna kichwa!
Wewe mpumbavu mbona huelewi huo uzoefu unaozungumzia ulileta Tina gani miaka hiyo kama ujingz na upumbavu kama huu kwenye halmashauri ulikuwepo! Kidogo hata kwa Magu halmashauri zimefanya vitu vya maana kama mahospital na ukarabati wa should kongwe lakini miaka ya nyumba hao wakurugenzi uchwara wa zamani walikuwa Wezi tu hamna la maana!
Muulize mwenyekiti wako ndio utajua kuwa sumu haionjwi😃😃😃Nani aliiba fedha kule ?
Basi usishangae ilivyongumu kutenganisha CHADEMA na ugaidiHawa wakurugenzi huwa ni makada na zao la uvccm na ni ngumu kutengenisha CCM na wizi.
Mali yote ambayo inahusiana na ofisi yake inakuwa chini ya dhamana yake kwa vile yeye ndiye anayeidhinisha fedha.Kwani wizi wa mabati na mkurugenzi vina uhusiano gani?
Acha umbwiga!
Hapa mataga pori tayari umeshapanic 🤣🤣Basi usishangae ilivyongumu kutenganisha CHADEMA na ugaidi
Naona mmejipanga vilivyo kutengeneza mambo yenu kuichafua awamu ya 6.DED Gairo ameiba mabati 1172 Rais yupo busy kurekodi movie ya utalii.
Wahujumu uchumi wamerudi kwa Kasi huyu jamaa eti bado yupo offisini tu pamoja na kuiba jasho la watanzania.
Ummy, Waziri mkuu na Rais wote wapo wanamcheki tu.
Ufisadi umerudi kwa Kasi sana hawamu ya 6.
Uzuri wakurugenzi wengi ni CCM kindakindaki....Morogoro.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Gairo, Asajile Mwambambale anashikiliwa na polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma ya wizi wa mabati 1,100 mali ya halmashauri ya Wilaya ya Kilosa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fotunatus Muslimu amesema hayo leo Jumanne Agosti 24, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Muslimu amesema kutokana na wizi huo watu wengine saba wanashikiliwa na wanadaiwa kushirikiana mkurugenzi huyo na wanaendelea kuhojiwa.
Awali Mwambambale alikuwa mkurugenzi wa halmamshari ya Kilosa kabla ya kuhamishwa halmashauri ya Gairo.
Wizi wa mabati hayo ulifanyika Juni 17, 2021 eneo ya ujenzi kitongoji cha Mvumi B wilayani Kilosa katika stoo ya halmashauri hiyo ambayo haikuvinjwa ambapo stoo hiyo haikuvunjwa.
Ahaa kabambikiwa taarifa za ndani ni mchongo wa kumtoaUjinga kweli mzigo.......pamoja na nafasi aliyokuwa nayo anaenda kuiba kizembe.